Natafuta rafiki wa kiume

unaomba urafiki kama unaomba kazi maelezo kibao
una msambwabdwa? ok fine
nakuja PM.
 
Faith nitafute 0672 966987
Habari za majukumu,

Naamini nyote mpo salama, natafuta tafiki wa kiume mwenye hofu ya Mungu, anayejua na kujali thamani ya mtu asiwe mlevi wa pombe wala sigara wala wanawake, awe mkristo. Mwenye elimu walau ya secondary, mfanyakazi serikalini au mashirika.mwenye uelewa wa maisha na mpambanaji, awe mrefu, mng'avu kidogo , mwenye muonekano mzuri, umri kuanzia miaka 30 hadi 40.

Wasifu wangu, mimi nimemaliza chuo ,ni mfanya kazi, field ya Afya.umri wangu ni 29 . Nahitaji rafiki wa Dhati.

Njoo DM
 
Ayiiii ulikuwa wapi? nmetoka kuoa jana tu....
 
Miaka 29 wenzio wana watoto wawili wawili we ndo kwanza unatafuta rafiki. Kwa umri huo ulipaswa kuwa na marafiki 3 ambao ni mumeo na watoto wako 2.

Jua limezama pole sana, tafuta mume wa mtu jibanze au tafuta mstaafu ule nae pension.
Dah Mkuu umemwambia maneno magumu sana..atalia huko aliko na kujiona hana bahati..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom