Kama wewe ni muislam .Muolee mke mwenza na raha zaidi huyo housegirl.Trust wamawake wa kiislam dawa yao ametuletea muungu muumba .Aruke atoje ukimuolea mke mwenza anakua mdogo kama kidonge cha pilitoni
No wewe ni CCM mchafu tu, Hakuna sheria inavunja ni hujma za kisiasa hivi huoni vikosi na CCM wakivunja sheria kipindi cha uchaguzi? Wewe ni mshenzi tu baba yako alikua kigogo wa CCm so utapigania tii sheria wewe ni kama lemutuz wazazi wenu wamesha set maisha kwa ajili yenu so all the day...
You are very wrong my friend. We never exchange power peacefuly. Security forces are being used to ridge the election.It is totally bullshit to believe that we Tanzanian elect our leaders in free and fair election.We don't have choice we have to accept the results as they are ready to kill...
Ndugu zangu Wazanzibari,Katu tusije kuandamana tarehe 26-04-2018.Hata kama Mangi Kimambi ana hoja za msingi kiukweli kwetu sisi hazifanyi kazi.Hata hivyo Zanzibar tumeanza harakati za kudai demokrasia ya kweli tangia 1995 ila Watanganyika hawakuwahi kutuunga mkono hata mara moja .
1.Tusisahau...
Amina ni mzuri na nasikia mwenye dini ila Ali Kiba anafanya mambo ya Kikafiri ,mziki ni kharamu mutlaq kwa dini ya kiislam .Amina sijui umeona nini ila umepotea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.