1996 Arsene Wenger alipoanza kuifindisha ulikuwa na umri gani?

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
7,974
13,614
Mimi nilikuwa na 21 wakati huo. Nilikuwa mshabiki wa New Castle United ya kina Ginola , Asprila na Kaka mkuu Allan sheareh.

Ila nilikuwa na mahaba na Arsenal baada ya le professor Wenger kumleta Kanu pale Highbury. Na Kanu ndio mtu aliyeitangaza sana epl huku Africa.
Mimi nilikuwa na 21yrs Wewe ulikuwa miaka mingapi?
 
Mimi nilikuwa 17 nilikuwa sishabikii kandanda la nje kivile ingawa nilikuwa naijua Barcelona na nafikiri mchezaji wangu pendwa aliitwa Gabriel Batistuta kipindi hicho mpaka world cup ya 98 wakati wa mzee Mario Zagalo sijui yuko wapi huyu mzee alikuwa kocha wa Brazil na yule kipa kipara wa Ufaransa akiitwa Fabio Batez.Nakumbuka sana Brazil walitolewa nafikiri na Uholanzi kwenye kombe la dunia
 
world cup hiyo fainali ilikuwa brazil vs ufaransa, brazil akala 3. Niliwafata mastaa weusi Arsena, viera, henry, wiltord, nikajikuta naipenda tu arsenal
 
Mimi nilikuwa 17 nilikuwa sishabikii kandanda la nje kivile ingawa nilikuwa naijua Barcelona na nafikiri mchezaji wangu pendwa aliitwa Gabriel Batistuta kipindi hicho mpaka world cup ya 98 wakati wa mzee Mario Zagalo sijui yuko wapi huyu mzee alikuwa kocha wa Brazil na yule kipa kipara wa Ufaransa akiitwa Fabio Batez.Nakumbuka sana Brazil walitolewa nafikiri na Uholanzi kwenye kombe la dunia

!
!
Same Age Mimi Nilikuwa 16 by that Time. Kipindi Hiko Nilikuwa Nawazimia Sana Chelsea Na Uzi Wao Ule Autoglass. Viliniumiza Sana Vile Vichwa Vya Zidane Dhidi Ya Brazil
 
Mimi nilikuwa 17 nilikuwa sishabikii kandanda la nje kivile ingawa nilikuwa naijua Barcelona na nafikiri mchezaji wangu pendwa aliitwa Gabriel Batistuta kipindi hicho mpaka world cup ya 98 wakati wa mzee Mario Zagalo sijui yuko wapi huyu mzee alikuwa kocha wa Brazil na yule kipa kipara wa Ufaransa akiitwa Fabio Batez.Nakumbuka sana Brazil walitolewa nafikiri na Uholanzi kwenye kombe la dunia
Wapi bixente lizarazu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom