Recent content by balozi wa mpunze

  1. balozi wa mpunze

    Mapenzi ya vichochoroni

    Inaonekana huwa inanasa kama ya mbwa.
  2. balozi wa mpunze

    Kila msichana ninaemtongoza ananiomba hela, whats this?

    Huyo atakuwa demu au duka? Kajibandika vitu vya bandia kibao halafu anataka real man wakati yeye sio real.
  3. balozi wa mpunze

    Kila msichana ninaemtongoza ananiomba hela, whats this?

    Huyo atakuwa demu au duka? Kajibandika vitu vya bandia kibao halafu anataka real man wakati yeye sio real.
  4. balozi wa mpunze

    Clouds fm Fiesta na Ubaguzi wa waziwazi wa Wasanii kutoka Musoma ( Best Nasso, Chief Maker N.k )

    Mashoga wapo tena sana. Kama huamini fika Nyamongo utawakuta wapo tele. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. balozi wa mpunze

    Tumefanyiana wake zetu live live ndani ya chumba kimoja

    Nendeni mkalewe tena wewe na rafiki yako na wake zenu then rudieni kamchezo kenu. So kila ukitaka papuchi ya huyo mtusi wewe andaa hela ya pombe tu kwa nyinyi wote.
  6. balozi wa mpunze

    Ugonjwa wa Gauti(Gout): Chanzo, Dalili na Tiba yake

    Ni haya haya ila hakikisha unapunguza kiwango cha uric acid kwanza kwa kumeza dawa then kila ukila nyama kula parachichi on the spot.
  7. balozi wa mpunze

    Ugonjwa wa Gauti(Gout): Chanzo, Dalili na Tiba yake

    Je huyo mgonjwa ameenda kupimwa kiwango cha uric acid kwenye damu? Kama ni kapimwa na kugundulika kuwa kiwango hicho cha uric acid kiko juu basi ale maparachichi kwa sana kwa sababu hata mimi yamenisaidia sana mpaka sasa napiga nyama kama kawa
  8. balozi wa mpunze

    Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

    Duuh mtoto mashaalaah wallah
  9. balozi wa mpunze

    Tulioko Mwanza Tukutane hapa

    Bado upo hapo nije nikutembelee coz na mm nipo pande za Nyegezi
  10. balozi wa mpunze

    Guest/Lodge Mwanza

    Ok nishapajua. Kama hutojali ni pm phone nmb yako japo nifike kukujulia hali Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
  11. balozi wa mpunze

    Guest/Lodge Mwanza

    Ndo maeneo yapi hayo?
  12. balozi wa mpunze

    Guest/Lodge Mwanza

    Au njoo double A karibu na hom kwangu ili tupige story
  13. balozi wa mpunze

    Utata waibuka wachimbaji wadogo kupigwa mabomu wakiwa mgodini

    Kipindi mzungu yupo hapo TANZANITEONE mambo yalikuwa poa sana kila mtu alipata riziki yake bila kele wala migongano. Lakini walipokuja hawa wanaoitwa wawekezaji wazawa au wanyanyasaji wazawa mambo yamekuwa ovyo sana. Mimi nilifanya kazi hapo kwa kipindi kirefu kiasi so najua kila kinachoendelea...
  14. balozi wa mpunze

    Mwanza: Shinyanga Guest House yaungua moto, Mmliki wake aungua hadi kifo

    Sio kuwabania tu, huyu dingi alikuwa anatembeza ile timu ya Angola (FC LIBOLO) kwa sana. Aliwahi kumtembezea mke wa mtoto wake.
Back
Top Bottom