Kila msichana ninaemtongoza ananiomba hela, whats this?

Kila msichana ninaemtongoza ananiomba hela, whats this?

Kikosi Cha mizinga....

Sasa mkuu unatongoza demu anawig la 50000 ,usoni kapaka makeup sio chini ya40 kadress kaef25 viatu labda ef10 handbag ef50

bado ukiombwa ela unachomoa, si ututongoze sie ambao hata mafuta yetu baby care
Huyo atakuwa demu au duka? Kajibandika vitu vya bandia kibao halafu anataka real man wakati yeye sio real.
 
Endelea kupambana na hali yako subiri watakuja watakaokupa hadi mahari ukawalipie kwao
Nafikiri ana hoja, huo ujasiri wa kuomba pesa siku ya pili msichana anautoa wapi?
Suala sio kuomba pesa bali mara tu mtu anakuaproachi.
Mwanaume kutoa pesa sio ngumu bali ule uharaka huleta maswali kuwa tuendako itakuwaje
 
Sio watu wa ajabu,bado hawajui wanataka nini, hujakushtuka wakati wameshachelewa!!!
Mimi nafikiri ni wanawake wote wamekuwa hivyo. nafikiri huwa wana test sijui au huwa wamemaanisha. mi sijui kwakweli maana suala la kuoa limekuwa gumu sasa, labda mtu uamue kujilipua tu
 
Kama upo serious unatafuta mwenza wa maisha, achana na visichana vinavyokwambia baby nina njaa, mara baby ninulie iPhone, mara baby njoo na baga, mara baby unajua kodi ya safari hii sijui nitapata wapi. Achana nao hao, hawanaga future kabisa. Tafuta mwenza ambae atakwambia baby tufungue kabiashara, baby leo nikupikie nini, baby tupunguze mambo ya anasa tusije tukashindwa kulipa kodi n.k.
Kwa kizAzi hiki cha I phone mabinti kama hao wenye akili ya maisha ni wa kutafuta kwa torch
 
Huna maneno matamu mkuu. Na utakuta unaombwa ombwa sababu huna cha maana unachozungumza hivyo wanaona mzinga ndio saizi yako.

Pia naamini hiki kilio huenda kikaisha ifikapo 2025.
Kitazidi
 
Pole
Hiyo ya kuomba hela imekuwa janga la kitaifa, kila mwanaume alia hilo humu.
Wakati wa kutafuta mke, kuwa makini mnoo. Wengi wanatafuta wa kuwasogezea siku tu na sio kuolewa. Miaka yako kumpata mwanamke wa kutulia nae ni pagumu,wengi wako vyuoni na waliobaki wanatafuna ujana taraaatiiibuuu ndo maana wanakuomba hela tuu hawawazi lingine !!!!

Mshirikishe Mungu kwenye hilo
Nakupenda sana.
Hapa umetema dhahabu tupu dadangu
 
Ndio hali ya mjini na vijijini kwa sasa

Ila ukimwomba Mungu kweli akupatie mwenye sifa za mke mwema na wewe ukatulia basi utampata tu
 
Kikosi Cha mizinga....

Sasa mkuu unatongoza demu anawig la 50000 ,usoni kapaka makeup sio chini ya40 kadress kaef25 viatu labda ef10 handbag ef50

bado ukiombwa ela unachomoa, si ututongoze sie ambao hata mafuta yetu baby care
Habari yako Dada, nakusalimu jamani
 
Mimi nafikiri ni wanawake wote wamekuwa hivyo. nafikiri huwa wana test sijui au huwa wamemaanisha. mi sijui kwakweli maana suala la kuoa limekuwa gumu sasa, labda mtu uamue kujilipua tu
Sio wote, na ujue kuna wanawake na wasichana!!! Mwanamke anaejitambua kuomba hela ni nadra saana!!! Halafu kuna mazingira pia, kuna sura za kuomba hela na namna ulivyo huchangia wasichana weengi kuingiwa tamaa.

Mke ni zaidi ya tujuavyo,kwa hivyo wakati wa kumtafuta wa maisha yako kuna vigezo. Huwezi sema umempenda akakwama akakueleza halafu umuache!!!
 
Back
Top Bottom