Recent content by balosi

  1. B

    Dr Slaa akataa mjadala na Nape ITV badala na Kinana

    Dr. Slaa alikuwa sahihi kukataa kufanya dialogue na Nape kwani mwaliko ulikuwa wa makatibu wakuu wa vyama hivyo viwili na sivinginevyo. Nape asitake kujitafutia umaarufu kupitia kwa Dr. wa ukweli.
  2. B

    Slaa wa CHADEMA alivyopokelewa nchini Zambia

    2015 Dr. hanampinzani
  3. B

    Yaliyojiri katika Maandamano na Mkutano wa Wapinzani Jijini Dar - Feb 10, 2013

    Makamanda kaza buti watz wana imani kubwa juu yenu! niko arusha lakini nafuatilia kwa makini.
  4. B

    Urais 2015 kupitia CCM: Mangula amshukia Samwel Sitta...

    Sita hana ujanja hata jina likikatwa maake tulishaona jina likikatwa wakati wa uspika na akaendelea kuwalamba miguu mafisadi!
  5. B

    Shule za serikali zaanza kuikumbatia CHADEMA

    Kutumia dola wala haitasaidia sisiem kubakia madarakani 2015!
  6. B

    Barua Kwa Freeman Mbowe

    Dr. kugombea ni jambo zuri lakini lililobora zaidi kwa sasahivi ni kujenga chama siyo kuwazia URAIS kama nyinyiem!
  7. B

    Channel 10: Francis Godwin ateta, nusura auawe

    Mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasahivi ni zaidi ya tunavyojua na kufikiri! Ila kila jambo lina mwisho wake
  8. B

    Hukumu Rufaa ya Godbless Lema yaiva

    Tunaimani mbunge wetu Lema ataibuka kidedea safari hii pamoja na kuwa baadhi ya majaji hawana sifa!
  9. B

    Dr. Ulimboka yupo mafichoni, kuzungumza wakati wowote!

    Very interesting to be heard by Tzns
  10. B

    Mwalimu huyu alipwe bei gani?

    kaah! mleta uzi anataka kutuaminisha kuwa watu wenye uwezo mkubwa kiakili ndo wanastahili mshahara mkubwa siyo? basi kama ndivyo maprofesa ndo wangestahili kuliko wabunge! All in all u'r too biased!
  11. B

    Hii ndiyo nguvu ya umma ya CHADEMA inayowafanya CCM wasilale

    Tz ya leo nyingine kabisa, nakumbuka chaguzi za 1995,2000,2005 kila baada ya uchaguzi hakuna siasa kabisa lakini tangu tumalize uchaguzi wa 2010 mambo ndo yananoga utadhani uchaguzi ndo umekaribia,nadhani wananchi wanahasira ya kudhulumiwa!
  12. B

    Polisi waishiwa mabomu ya machozi maeneo ya Mjimwema (Kigamboni) na kukimbia!

    walishaambiwa nchi haitatawalika wakang'ag'ania!
  13. B

    Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    Habari nilizozipata kutoka Mbulu kutoka kwa rafiki yangu ambaye ni mwl. huko ni kuwa walimu katika shule nyingi wamegoma hasa wa sekondari isipokuwa walimu wa shule kongwe ya Chief Sarwatt ndo wamewaangusha wako kazini. Nasikia maafisa Elimu wamepiga mkwara lakini walimu wako ngangari.
  14. B

    Walimu wote kuanza Mgomo Jumatatu Tarehe 01/07/2012

    Huu uzi hauna ukweli kiasi fulani,japo mgomo wa walimu upo lakini siyo wa siku tano wala kwa tarehe ambazo mleta mada ametutajia. Hili suala la mgomo wa walimu nimelifuatilia kwa kiasi kikubwa tu na ni kwamba CWT imetangaza mgogoro na serikali tangu tar-8/6 na kwa taratibu za sheria waalimu...
Back
Top Bottom