Channel 10: Francis Godwin ateta, nusura auawe

Nafikiri siku hiyo walitumwa kuua waandishi wa habari. Next time sijui itakuwa nani.... tusipowadhibiti hawa watatufuata hata majumbani mwetu. Nasema tena na tena mbona mashahidi wako wengi tu tume ya nini?

Wananajaribu kuwatisha waandishi wa habari ili inapotokea wanafanya fujo katika mikutano ya CHADEMA waandishi wa habari wasiwe na ujasiri wa kuwapo eneo la tukio kuripoti udhalimu wao. Si mnafamu kuwa hata kinachowatia kiwewe polisi kwa sasa ni picha na video zinazochukuliwa ktk maeneo wanapojaribu kufanya ufedhuli wao? Nadhani wanawatisha wasiwe wanaripoti madudu na picha za polisi hao, ili wafanikishe mipango ya waume zao (ccm) na kuwachafua CHADEMA kuwa ndio wahusika.
 
Walilipa pesa mingi sana kuupata urahisi walidhania ni rahisi??watajuta na bado.......
 
kila mwananchi ajilinde wakitumia bunduki na sisi tutafute mbinu mbadala wa kulipiza kisasi si tunakaa nao uswahilini tuanze kuwamaliza mmoja mmoja mpaka watona mtindo wanaokwenda nao sio mzuri watabadilika tu wakisha chinjwa kama watatu watatu kila sehemu walikouwa watatia akili tu
 
Jeshi la polisi la leo halina tofauti na jambazi aliyesajiliwa kisheria, anayetumia magari na silaha za serikali ili kuua wananchi na kuwapora mali zao. Jambazi aliyesaliwa serikalini kwa kazi hiyo!!
 
I hate CCM vibaya sana. Nikiona rangi ya kijani ninajisikia kufa. Arghhhhhhh
 
yani mkuu unajuwa kabisa
Kuwa majibu yatakuwa hayo halafu bado unathubutu kusema tusubiri?daah!no words,sitaki nikukwaze.

Mkuu nilijaribu ku-quote maneno ya ndugu zetu wale wa upande ule wa kijani
 
Nawashangaa baadhi ya waandishi bado wamevaa magamba mtauliwa hadi muishe badilikeni vaeni gwanda hadi ukombozi upatikane mapema iwezekanavyo. Msipofanya hivyo wameanza na waandishi watakuja viongozi baadaye wanamaliza wanachi wote
 
kweli polisi hawana akili, alisema yupo mochwari nao wakaamini kwamba mtu akiwa mochwari anapiga simu!?. hahahaaaa.....!!!. mia

Amini usiamini mzee, polisi wanashangaza! utadhani kama vile hawana ubongo, ni shida sana wao ku-analyse information na kuja na reasonable conclusion!
 
Mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasahivi ni zaidi ya tunavyojua na kufikiri! Ila kila jambo lina mwisho wake
 
Mtabisha nini mkiambiwa policcm ndiyo waliotaka kumuua Ulimboka na bado wanaendeleza mkakati wao? Hivi mmeshajiuliza wametumwa na nani? mnadhani wanafanya tu? naona the Hague ikinukia! muda si mrefu, shetani anazidi kuwafumba mamcho waue zaidi ili hukumu iwe kubwa zaidi

nikisikia ulimboka nachoka kabisa, sitaki kusema mengi nisijepigwa ban bure!
 
Mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasahivi ni zaidi ya tunavyojua na kufikiri! Ila kila jambo lina mwisho wake


jk nchi imemshinda siku nyingi hii, alidhani urais ni mzaha, nadhani anatamani muda wake uishe tu. lakini ndo too late tena. no second chance to make the first impression, failure is what he's branded himself.
 
Nadhani ilikuwa ni vidokezo tu mengi zaidi ni jumamosi saa 2 kamili Chanel 10 watakuwa na kipindi maalumu nadhani ndio atakuwa amefunguka zaidi
 
Yanayotokea sasa ni matokeo ya upofu uliowapata watawala, badala ya kushuhulikia matatizo ya wananchi wao wanajitahidi kubaki madarakani kwa kumwaga damu, ukweli nikwamba kila panapomwagika damu watawala (ccm) wajue hapo si pao tena.
 
Back
Top Bottom