Recent content by baliyanga

  1. B

    JamiiForums Tanzania Yanga tuchukue hili la Simba nasi tuwaige. Nimependa wanachofanya hapa.

    Nikisom reaction nying za chuki kwa yanga .Kwan yanga haiwaenz wachezaj malegend kwenye mikutano hawaendi hao wachezaji,alf simba je mfano ajibu alikuwa yanga ni nyota ila akakubali kwenda simba kwa sababu binafsi ila what next .amekuwa bado anasapotiwa na viongoz wa yanga kuliko simba hat kwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania HIVI HAJI MANARA NI YANGA KWELI?

    Yule jamaa analeta fitna yaan anao uwezo wa kuzungumza na viongozi direct ila anatak public attention
  3. B

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa Vikawe - Karibu na Baobab Sekondari

    Nikiona shule ya baobao nakumbuk mbalii
  4. B

    JamiiForums Tanzania Chanzo bei mbaya ya mafuta ni nini?

    Vita ukraine Vita mashariki ya kati Siasa za trump Mfumo mbovu wa kutegemea dola
  5. B

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha watu kulala Ibadani ni nini?

    1. Either watu wanaenda kutimiza wajibu 2. Waumini wanachoshwa na hotuba. 3. Mambo yanayozungumziwa wameyazoea. 4. Baadhi ya wahubiri wanakosa kuleta reference za mambo yaliyo kwenye vitabu na maisha halisi na mifano ya hivi sasa 5. Chambua
  6. B

    JamiiForums Tanzania Je harmonize kaingia katikati ya diamond na alikiba

    Mwanzoni ilikuwa kuna mashabiki wa pande mbili kwenye muziki diamond na alikiba .ila hivi sasa ukizunguka maeneo mengi hata discussion nyingi zimekuwa ni diamond na harmonize hivi sasa mitaan au kwenye mitandaon harmonize ametengeneza loyal fans ambao wao huko nyuma either walikuw hawamkubali...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Yanga inamhitaji kocha wa aina gani?

    Nimekuwa nikifatilia trend ya timu ya yanga tangia msimu uliopita na kubaini mambo yafuatayo. Yanga ilimsajili kocha folz ambaye yeye sifa zake hata akiwa huko ni kucheza kimkakati (pira robertinho) wakati wanajua mashabiki wanataka tiktak Akaja kocha ambaye yeye carier yake ya ukocha kwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Marais waislam na familia zao, hatukuona kwa Mkapa, Magufuli hata kipindi cha Nyerere

    Kuhusiana na jambo la maraisi kuweka watu wao binafsi sioni tatizo lolote Kwani jenifer magufuli sasa ni nani, usilete udini kwenye uongoz .Tanzania haihitaji katiba mpya wala nini kwani nchi zenye katiba nzuri mfano kenya ,marekani,uingereza na nchi zote suala la kidemokrasia limekua likileta...
  9. B

    JamiiForums Tanzania WANAHARAKATI UCHWARA WAMEPOTEZA USHAWISHI NA KUPATA KIFO KIBAYA CHA AIBU✍️

    Huyu mdada namkubali sana hana chuki za kijinga
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yakubali masharti ya Israel kuzuia marubani na wahudumu wa ndege kutoka nchi za kiislamu

    Isome dini hiyo kabla ya kukurupuka
  11. B

    JamiiForums Tanzania Trump akerwa kunyimwa Tuzo ya Amani ya Nobel, asema tuzo hiyo imepoteza hadhi yake

    Huyu amesababisha bei ya mafuta kupanda
Back
Top Bottom