Wewe ni mjingaNenda akulombe sasa uone raha zaidi
Hata kama ni uchawa wakati mwingine kuweni hata na aibu kidogoTangia huyu mwamba atue kwenye ile nafasi unaona raha kumtizama mara ya mwisho kuangalia mikutano ya viongozi wa serikali ilikuw kipindi cha magu ila yey kaja wananchi wanahisi wamepata mwokozi ikimpendez agombee 2030
Huyu mjinga sijui alituonaje siku ile alipotamka huu ujinga halafu alipotoka hapo akaenda kusaini posho.Trab na Trat
Acha uchawa na uzwazwa. Huyu kama kuongoza afaa aongoze kundi la chawa au inzi. Hafai kabisa ni toxic hakuna mfano. Mwigulu ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!Tangia huyu mwamba atue kwenye ile nafasi unaona raha kumtizama mara ya mwisho kuangalia mikutano ya viongozi wa serikali ilikuw kipindi cha magu ila yey kaja wananchi wanahisi wamepata mwokozi ikimpendez agombee 2030
Uongoo huyu ni pretender why angekuwa kama magufuli asingefumbia uuwaji 2025Tangia huyu mwamba atue kwenye ile nafasi unaona raha kumtizama mara ya mwisho kuangalia mikutano ya viongozi wa serikali ilikuwa kipindi cha Magufuli ila yeye kaja wananchi wanahisi wamepata mwokozi ikimpendez agombee 2030
Kama jembe kalimie au mpe mama yako akalimie. Tanzania haitaendelea kuwa laboratory ya kila punguani na fisadi kuja kututumia hata kutuua. Mwigulu mwenyewe sijui hata kama hiyo 2030 anayokamia atafika na mwenzake bashiti. Kama mwigulu ni jembe, basi anapambana na 'majembe' kama mwaikopo wa mwaipopo chawa wa makalioni mwa samuya mbali na bashiti na genge lao.Mnaopinga pingeni tu,,ila Mwigulu ni jembe zaidi ya hata Mag, hakika 💪🏽💪🏽💪🏽👌🏽