Yaani wewe ni bonge la mshamba yaani hivyo vigari vya mkopo ndiyo vinawapa jeuri.We kilaza unajua ni kodi zetu sisi wavuja jasho ndizo zinafanya wewe kuona million ni pesa ndogo?!
Uliyeleta mada ni mkereketwa wa ACT.Kwa taarifa yako,Ukawa haiitaji mtu anayeitwa mamvi.Kumkubali mtu mzee huyu ndani ya ukawa ni kama kuchambia mfuko wa Rambo.
Zito hawezi thubutu wala kukubali kukutanishwa Mbowe.Anajua ACT ndiyo itakuwa mwisho wake.Mbowe alimvua nguo Kigoma kwa jinsi alivyomlea kwa wanokumbuka Zito alijiuma kujibu.Pia hakuna sababu ya mjadala maana na vichaa wa milembe peke yao wasiojua kuwa Dogo ni msaliti
Hivi nyie watu wa CCM B (ACT wasaliti) mnafikiri watanzania bado wengi ni wajinga kiasi cha kuwaaminsha na huyo zito wenu kuwa nyie ni chama pinzani?.Ndani ya siku 45 zijazo mtavuliwa nguo peupeee!!
Kwa nchi kama ya kwetu hatuna uwezo wa kufanya kama wanigeria.Sisi hawa makaburu ndiyo wameshika uchumi wa Tz.Hivyo ukisema fyoko nchi itayumba.Nigeria ni tofauti yapo mataifa mengi yamewekeza pale.Hata hivyo kama ni uhasama uwe kwa hao weusi wenzetu maana ndiyo wauaji wa ndugu zetu kule kwao.
Ni wakati wa kumpa support abubakari shakeu huko Nigeria atukomeshee hawa vilaza wa south,wasiojua hata historia ya kupata Uhuru wa nchi yao.Ni hao waliotufanya hadi leo watanzania tuwe maskini kwa ajili ya kitu kinaitwa ukombozi kusini mwa Africa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.