bullet
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 1,047
- 543
Askofu aliyekuwepo, yupo wapi?
Alikuwepo Askofu Desidery Rwoma ambaye alihamishiwa jimbo la Bukoba.
Askofu aliyekuwepo, yupo wapi?
Kwani Papa kateuliwa na nani ? Si mwanadamu kama wewe tu .
Afadhali Papa ametuona na sisi wa kusini, wakaskazini walishazidi kuteuliwa bado Pwani..
Gloria in excels Deo, hatimae Jimbo langu mama limepata Mchungaji, nilibatizwa kanisa la Moyo mtakatifu wa Yesu na Askofu Bernard Mabula(R.I.P) kwenya kanisa bibi enzi hizoo! Na baadae kurudi Singida baada ya masomo na kumkuta Mhashamu Askofu Desderius Rwoma. Duu sasa niko jimbo la Mbulu, hatuna Askofu, baada ya Askofu wetu Mhashamu Askofu Beatus Kinyaiya kuteuliwa kuwa Askofu wa jimbo kuu jipwa la Dodoma. Tunaomba mtuombe na sisi wa Jimbo la Mbulu tupate mchungaji Mkuu, yaani Askofu Mpya atokaye kwa Mungu. Laudetur Jesus Christus..!

Mkuu kwa uelewa wangu watu wa kaskazni ndio wana wito mkubwa kutaka kuwa mapadri au maaskofu kwa kiwango kikubwa kuliko sehemu yoyote hapa Tanzania,ndio maana unakuta mapadri wengi wanatoka sehemu hzo kwa hyo sio kama papa anaangalia kama anatoka kusin au kaskazn,yeye anachagua kutokana na sifa na utumishi wa mhusika kwa kanisa.
Askofu aliyekuwepo, yupo wapi?
Sayaka, elimu yako ni ipi? From our education background, we stand a better chance to argue! Kama ni mfuasi wa hao self proclaimed bishops, we can not argue philosophically!
Ficha upumbavu wako basi!Elimu yangu ni la saba , ma swali langu unaongelea ubosi kwa papa au unaongelea kazi alizotenda Yesu ? Mimi sio mfuasi wa Gwajima ila nasoma sana biblia na roho mtakatifu huniongoza katika hili na haihusiani na elimu kama ulonayo wewe elimu ya darasani na ya Mungu ni tofauti, u may win kwenye hiyo elimu yako ya darasani lakini kwa elimu ya Mungu haumo ndo maana u dont know what ur talking about, nionyeshe papa akiombea wagonjwa, akikemea pepo kama Yesu alivyofanya, watu wa dini wamekuwa wakishabikia bila kujua wanajifunza nini kupitia neno la Mungu, namponda maana hafanyi kazi iloandikwa kwenye biblia na kukalia kukremisha watu sala huku wana mabalaa na mikosi, watu wamerogwa hawafundishwi namna ya kujikwamua, ntamfagiliaje na hata kwa Mungu ataulizwa kawasaidiaje wakatoliki maana kwenye biblia hakuna neno rozali, wala kuambiwa kuomba kupitia mama maria, atajibu kwa Mungu kwa kuwapotosha watu kupomokea sanamu wakati imeandikwa usiabudu sanamu wala mfano wa kitu chochote kifananacho na Mungu. Atajibu hayo
Ficha upumbavu wako basi!
Bora kuabudu sanamu tena si bikira maria tu! hata ya ng'ombe kuliko ya hao wachungaji wenu kina Gwajima wachumia tumbo ,nyie mwafa masikini.