Kwa research ndogo ukiifanya utagundua yafuatayo:-
Kina mama wanaupendo zaidi kwa mtoto mmoja kuliko wengine na huwezi kuwabadilisha hata. Wao humpenda mtoto ambaye ameteseka kumpata katika uzao (yaweza kuwa wakike au Wakiume); ama mtoto ambaye alimpa maumivu sana alipokuwa mdogo, maybe...
Unasema "Leo hatuna haja ya kuungama kwa Padre kwa sababu tunaye Yesu Kristo kuhani mkuu na mwombezi"
Sasa kwanini huwa unaenda kanisani na unasikiliza maubili na mafundisho ya watumishi hata usikae mwenyewe kwako ukaomba peke yako kama unajua na kuamni Yesu Kristo yupo na huitaji kuwategemea...
Sielewi hapo nini kinakuchanganya...
Kutojikweza kwa Petro na mitume wengine ndio ishara ya uimara wa imani yao iliyo kubwa kuliko waumini wengine. Yesu alimteua mwenyewe petro kuwa kiongozi wa wanafunzi wake. Nashangaa wewe unaoji uteuzi wake!!
Kutokea kwa mapapa waliofanya makosa au maovu...
Hii nchi ya ovyo sana maana hapo morogoro ndo vifaa vingi vya kijeshi vimejaa. Wangeshafika hata ndani ya dk 10 maana kila chombo kinachoruka wanakiona kwenye mitambo ya ulinzi. Na ndo maana wanajua exactly eneo ilikotokea ajari ili hali hawajafika.
Au wanaficha ukweli fulani, labda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.