Hato pandisha bei ila atabadili tu code...kama dstv wanavyofanya kila baada ya muda hubadili code zao lakini still watu wanazi crack...daaa! Ilinitoka Tshs13,000 kwa jamaa mmoja wa startimes ili aniwekee hizo code nikamwambia anipatie ilikuwa ishu thanks! "WEWE UKIJIDAI UNAMITEGO WENZAKO WANAMBINU, NA MAISHA NDIYO YALIVYO by Displayname, 2008"
hizo code zime expire.......tupeni zingine.,........halaf kunamtu huku kwetu anaangalia channel za azam kwenye star times cjui code amezitowa wapi me ameninyima ati
umesahau kua tukiwa wadogo tulikua tukiambizana kua gezageza mtindo wagereza. Au some time iga ufe. Minadhani nibora kulipia2 kwani walionzisha biashara sio kama hawana akili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.