Full Makamuzi imeshtukiwa?

Full Makamuzi imeshtukiwa?

shyja

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
410
Reaction score
67
Habari wanaJF, leo nimeamua kuuliza baada ya siku kama mbili zilizopita kujiunga full makamuzi na kupata huduma kwa muda kisha huduma inasitishwa.
  • Nilijiunga kwa smart phone, afu nafanya tathering ila kabla hata sijashusha mizigo ya maana, huduma inasitishwa.
  • Custumer care wanasema wanashughulikia tatizo lakini hakuna chochote kinachosolviwa.
  • SWALI, JE WAMEWEKA LIMITATION AU NI KIPI HASA KINACHOSABABISHA HIVO? AU MCHEZO WA TATHERING WANAUZUIA KWA STAILI HIYO?
  • KUWA MSTAARABU KWA KUTOTUMIA LUGHA ZA MATUSI, KAMA HUJISKII KUKOMENT, NI BORA UKAHAMA PAGE KISTAARABU TU.
 
Sio full makamuzi kweli hataaaa!!!
I think ni unapewa 1GB per day. Sio utumie zaidi ya hapo wala
 
nahisi hivo na mimi, maana wanakupa bundle mda flani tu, halafu wanaondoa huduma.
 
Wanakwambia full makamuzi kwa sababu wanajua kwa smartphone 1GB kwa full makamuzi inatosha kabisa, kwenye biashara lugha tamu huwa ni kawaida tu
 
inaonesha wamebadilisha saiv. Kwa sababu kipindi cha nyuma nilidownload vitu zaidi ya 4gb kwa siku moja. Kama ndo ivo nitajaribu full makamuzi ya tablet, ili nione na yenyewe itakuwaje!
 
Mkuu full makamuzi ipo kama kawaida sema hawaruhusu tethering, ukifanya tehtering wanaku disconnect na service kabisa kwa sababu unakua umekiuka terms and conditions

Ndio maana ukiangalia balance wanakwambia hujajiunga na huduma hii

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom