Recent content by Bakari Shemngodo

  1. Bakari Shemngodo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mkuu kama kundi la whatsapp la Real Madrid naomba niunganishwe, na hii ni kwa yoyote humu ambae ni mdau wa Real Madrid. Asante.
  2. Bakari Shemngodo

    CCM wanashangilia ushindi waliojipa wenyewe bila kushindana na wapinzani wao kisiasa

    Unafiki unalipa kweli, wako wapi waliotuaminisha mtu fulani ni fisadi lakini leo ni malaika.
  3. Bakari Shemngodo

    Edward Lowassa ni mwanamikakati au mwanasanaa?

    Daah huu ilikuwa ni ujinga wa kiwango cha juu
  4. Bakari Shemngodo

    Kingunge, kweli ubaya hauna kwao...

    Nimeipenda katuni,kweli Kipanya kiboko
  5. Bakari Shemngodo

    Alikiba agoma kufanya show Dodoma, vurugu zatokea

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  6. Bakari Shemngodo

    Alikiba agoma kufanya show Dodoma, vurugu zatokea

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  7. Bakari Shemngodo

    Lowasa: Kuna watanzania wanajua Mwl Nyerere bado yupo hai

    Mimi ninavyofahamu ni Waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond
  8. Bakari Shemngodo

    Lipumba, Seif ni wazazi wasiowaachia watoto urithi

    Umemaliza kila kitu Mkuu,binafsi nimekuelewa vuzuri
  9. Bakari Shemngodo

    Pongezi kwa kampuni ya TAHMEED kwa kuagiza mabasi 26 mapya

    Ipo Tash ya Dar Tanga Pangani,onaondoka Pangani saa 1:30 asubuhi kuelekea Tanga then Dar kwa Makonda
  10. Bakari Shemngodo

    Hii nchi imevunja rekodi kuwa na wanasiasa wa ajabu sana duniani

    Wanasiasa wote siwaelewi, waupinzani na chama tawala,wrote hawasimamii kauli zao, wanajali matumbo yao, mpinzani anasema yule ni fisadi lakini leo ni msafi, mtawala anasema huyu ni msafi lakini leo ni fisadi, tusilete maneno mengi ya kukinyooshea mikono chama fulani ni wanafiki bali wote...
Back
Top Bottom