lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Ccm wanashangikia ushindi wao, kwenye uchaguzi ambao wameufanya wenyewe bila wapinzania wao kisiasa
1) Wao wanafanya siasa za kupotosha wananchi kila siku kupitia tv live kupitia wakuu wa mikoa,na wakuu wa wilaya.
2) CCM wanafanya siasa na mikutano kila siku bila kukamatwa na polisi lakini wakati huo huo Lowassa akisalimia wananchi, wananchi wanapigwa sana na kuumizwa vibaya sana. CCM wana tume ya uchaguzi, wakati huo huo Mwenyekiti wa CCM anakataza mikutano ya kisiasa,na anazima bunge live,bunge la wananchi, halafu CCM wanashangilia ushindi wa uchaguzi ambao mchezo haukuwa sawa, na viongozi wa dini nao wanashangilia ushindi wa CCM