Recent content by Baibe

  1. Baibe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dah! I got into everlasting pain

    Ts hurts kwa kwel pole sana...but i find u bold enough kuendelea kufanya kilichokupeleka mi nisingeweza.
  2. Baibe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanawake tu

    yan watangoja mpaka wazeeke..ts aint a big deal bana huyo alibahatika tu kutoa hiyo bikra ila atabak kuwa x
  3. Baibe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kuzaa na mume wa mtu ambae mkewe hajazaa nae tangu wafunge ndoa mwaka 2001

    Kwel jaman Mungu atulindie waume zetu....maana huko nje ni majanga!!
  4. Baibe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani nimepost tangazo langu la kutafuta rafiki wa kiume ambaye badae atakuwa mchumba na hatimaye

    hahaha umenichekesha sana mkuu.
  5. Baibe

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje, mtu kutembea na mke wa mtu?

    Duh kuna watu wauwaji kweli yani..yani uuze bastola ili mwenzio kakatishiwe maisha
  6. Baibe

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwenye MTV Africa Music Awards 2014

    na mimi namsikiaga tu mkuu
  7. Baibe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameline:Namshukuru Mungu amenipa twins wa kike!

    asante naamini ntapata twins mimi
  8. Baibe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameline:Namshukuru Mungu amenipa twins wa kike!

    Hongera mwaya..na mimi natamani sana nikiolewa nipate twins
  9. Baibe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Another crash...Kasindeeee and Kiki?!

    na mm nilikua najiuliza huyu anazungumzia ipi?
  10. Baibe

    JamiiForums Tanzania Laiti kama Camera zisingekuwepo! DIAMOND angeweza kufanya hivi ?

    yani chukua like yangu.
  11. Baibe

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    dah yani mwezi mzima..cjui cku hiyo nilizaliwa peke yangu!mana sioni mtu mwingine
  12. Baibe

    JamiiForums Tanzania Faiza Haider vs Lulu Michael

    hahahahahaha lol nimecheka hadi watu kwenye daladala wamenigeukia mimi...you made my day
  13. Baibe

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Jamani wa 27th october..tutafutane basi
  14. Baibe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tucheke kidogo na hii conversation ya wapendanao!

    hahahaha hii yako ndo imenichekesha angalau
  15. Baibe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetendwa jamani

    yani umeongea yaliyokua akilini mwangu.azingatie huo ushauri.
Back
Top Bottom