The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,690
- 2,853
Bwana eeeehhh!!! Hebu tumchague kwanza magufuli... Mengine baadae
Bwana eeeehhh!!! Hebu tumchague kwanza magufuli... Mengine baadae
Salute My Brother!!! :clap2:
umeona eeh! mi sitaki kumuona wala kumsikiaTena hao watoa bikira wanaboa kweli. Ukiitazama unakuta ni mijanaume mburula tu. Wangu sitakagi hata salamu na alishanawa mikono mxxxy
Bwana eeeehhh!!! Hebu tumchague kwanza magufuli... Mengine baadae
Ha ha ha. Tobaaaaaa! Sasa pata picha mwenyewe aliko huko anajitapa kuwa alimtoa binti bikra kumbe mhusika wala habari hana!!!
Aiii simpi, kwani kunitoa bikra ndio kawa owner wa my papuchino?? Tena namtoa baru hathubutu tena kujileta nyambaafu!! Ukiondoka umeondoka na nakusahau hakuna kurudi.
Kwanza hata aliyenibikiri simkumbuki sijui ni nani vile!!!
kwa taarifa yako wengiwaliokuwa wa kwanza kukata utepe ndio huchukiwa zaidi........ maana hakukuwa na utamu wowote.... kichungu hakikumbukwi
Nilikuwa na akili zangu, najitambua. wakati wake ulipita, kama ulivyopita wa wengine.Alafu Unakuta Alikutoa Ukiwa Shule Ya Msingi Hujui Mbele Wala Nyuma
Ha ha ha. Tobaaaaaa! Sasa pata picha mwenyewe aliko huko anajitapa kuwa alimtoa binti bikra kumbe mhusika wala habari hana!!!
Ewalaaaaa!! Yule ajiandae tu kuingia ikulu mbona tayari ashakuwa raisi anasubiri kuapishwa tu.
mmmmmmh humkumbuki. au ilikuwa kibaba na kimama enzi hizo
Am very okey, sijui wewe, siku hizi niko huku mahabani tu, si unajua mapenzi yanarun dunia?
WATANZANIA WENGI TUMESHAAMUA KUWA HATUTAMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA JMT, porojo tunawaachia wapumbavu.