Recent content by bahati30

  1. bahati30

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wadada: Huwa mnafanyaje mpenzi wako akiwa na hii tabia?

    Watu wake wa pembeni wafanye nini? ya kwao yamewashinda watayaweza ya hawa viumbe? cha msingi wapambane na hali zao. Na huyu mwanamke nae ni kihiyo kabisa kwa sababu huwezi kumwacha mwenzio kwa sababu kama hiyo. huyo ana lake jambo.
  2. bahati30

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mtarajiwa, nini natakiwa kufanya?

    Epuka mpango ya kando (MYK)
  3. bahati30

    JamiiForums Tanzania Ex wangu ananinyanyasa kisa kapata kazi

    We jamaa hapo umenyanyasika kivipi?
  4. bahati30

    JamiiForums Tanzania Angalia Picha Hii Kwa Makini Kisha Elezea kama ni Murder au Suicide

    Upelelezi unaendelea
  5. bahati30

    JamiiForums Tanzania Jina gani zuri naweza kulitumia kwenye bar yangu?

    The Gin Bar
  6. bahati30

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

    Pamoja na ushauri uliopatiwa na wadau usisahau kumwambia aondoe hofu ya kimbunga kwasabu kwa sasa hali ni shwari (kimeyeyuka). Kazi iendelee
  7. bahati30

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana umri unaenda sasa muanze kuwa serious. Shauri yenu, mtakuja kutulaumu bure

    Unaishi dunia gani rafiki? Una familia? Je ulishawahi kupitia hiyo hali ya mtoa uzi? USIKURUPUKE. Q.E.D
  8. bahati30

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana umri unaenda sasa muanze kuwa serious. Shauri yenu, mtakuja kutulaumu bure

    We mujamaa Bado msela Nini!!.... Kila familia ina utaratibu wake wa kula.
  9. bahati30

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kumuoa huyu single mother

    Sio kuliwazwa tu ila jamaa anasubiriwa kwenye angle ambayo akishakamilisha zoezi zima la kuoa ndio ataelewa maana "oo..namfanyia visa hafanyi chochote"
  10. bahati30

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepigwa chini na michepuko miwili kwa mpigo

    Hahaha.....hayo nayo ni mafanikio. Tunapunguza gharama za uendeshaji.
  11. bahati30

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Pisi nyembamba Zina nini lakini maana mimi Sielewi..

    Eti kuku kakwepa mwewe!!!!!.....
  12. bahati30

    JamiiForums Tanzania Huyu kuku anaumwa ugonjwa gani?

    Tafuta tylosin powder(kuku)
  13. bahati30

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimerudi nimekuta Jirani yangu (Mke wa mtu) kanifulia nguo

    Hahaha.......za chui chui tena!!!!!!...
  14. bahati30

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Rombo yaongoza Kitaifa kwa kufunga umeme kwa 100%

    Mbona povu mzee?
Back
Top Bottom