Angalia Picha Hii Kwa Makini Kisha Elezea kama ni Murder au Suicide

Murder kwa sababu
A) hiyo bastola kashikishwa na muuaji kwa sababu ni vigumu mtu aliyeanguka na aliyekufa kiendelea kushikilia silaha namna ile.

B) ni ngumu mtu aliyekufa kuendelea kushikilia sigara mkononi mwake hivyo kashikishwa baada ya kuuliwa.


C) alipigwa risasi iliyopiga kichwani na kutoboa kichwa hadi kusababisha damu kurukia ukutani.
Sure!
 
murder hio,
-
-kwa position ya damu pale dirishani inamaana huyu mtu alipigwa/kujipiga risasi akiwa karibu kabisa na dirisha hivyo damu kurukia pale dirishani sasa imekuwaje aanguke miguu iwe mbali huku kichwa kiwe karibu na dirisha? ilitakiwa miguu iwe karibu na dirisha ambako ndio alisimama then kichwa kielekee kwingine au angedondoka kwa kukaa karibu na dirisha, mwili jinsi ulivyokaa hauendani na na damu ilipo explanation pekee ni kuwa huu mwili umesetiwa ukae jinsi ulivyokaa
-hio shagalabagala ya vitu inaonekana kulikua na struggle kwanza kabla ya tukio kutokea so ni wazi kulikua na mtu mwngine hilo eneo
-hio bastola na sigara alishikishwa ni ngumu mtu afariki akiwa ameshika vitu vile halafu vikabaki vimeshikwa vile, vidole vingekuwa vimefunguka kdg na hvyo vitu kudndoka au vingekuwa vimeshikwa, ila sio tight hvyo, madetective wa jf kwe ubora wetu
Fafanua hapo kwenye red.
Je alipigwa au kajipiga?
Yapo mambo mengi ya kuangalia katika crime scene hii.
  • Position ya miwani, barua, ashtray, taa ya kusomea, kalamu, blood splatter, slipper, ganda la risasi, mlalo wa marehemu ...
  • Kwanini taa imechomolewa katika socket wakati nje kuna giza?
  • Position ya files
 
Fafanua hapo kwenye red.
Je alipigwa au kajipiga?
Yapo mambo mengi ya kuangalia katika crime scene hii.
  • Position ya miwani, barua, ashtray, taa ya kusomea, kalamu, blood splatter, slipper, ganda la risasi, mlalo wa marehemu ...
  • Kwanini taa imechomolewa katika socket wakati nje kuna giza?
  • Position ya files
alipigwa risasi
-position ya barua, kalamu,ashtray zinasuggest marehemu ni left handed, ht position ya taa inasuggest hvyo sasa ameshika bunduki na mkono wa kulia haimake sense why atumie non dorminant hand kushika silaha kutekeleza tukio husika!
-blood splatter inasuggest tukio limetokea karibu kabisa na dirisha sasa mlalo wa mwili ungekuwa miguu ipo karibu na dirisha na kichwa kingeangukia mbali na dirisha but hapa ipo kinyume chake
-position ya slipper huenda kulikua na struggle kabla ya tukio hvyo kujikuta hapo ilipo
-hio position ya files duh siwez kuunganisha hapo itanisaidiaje kujua km ni murder ama suicide duh-kazi za watu hiz jmn
-
-
-
 
Murder!
Mparaganyiko wa baadhi ya vitu mfano Stuli,kiatu ni ishara tosha kuwa hiyo ni murder
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom