Qu'ran ni kitabu kisokua na shaka ndani yake usipende kuongea vitu usivyovijua ,ungekua unaijua bible usingekua unabebelea kila jumapili bible,halafu ukifika huko unasoma vimstari vichache jumapili imekwisha mpaka jumapili nyingine
upo sawa kabisa masheikh wangapi wamedhalilishwa waislam wangapi wamedhalilishwa wao walikaa kimya iweje wao wakisema kitu sisi tuwaunge mkono, mbona wao hua hawatuungi mkono
ww
unadhani kua karibu na wazungu ndo mkiristo safi au kua karibu na mwarabu ndo kua muislam safi?europe kuna waislam pia hata arabuni wakirisito wapo pia kwahyo sioni ajabu mtu kupata hifadhi sehemu yoyote anayopenda na atapata amani ya nafsi
hakuna kitu kinachoitwa gram/kg bali nachojua ni gm/ton au ppm za dhahabu .ukisema kwamba kwenye kila kilogram moja ya ore una pata 1gm za dhahabu inamaana kwenye 1 ton ya ore unapata 1kg za dhahabu ni kitu ambacho hakipo.ungesema 1gm/ton ungeeleweka kama mtu hujui mambo ya madini bora mkae kimya
usimuige tembo ku......a utachanika msamba sasa kama umechukua mwanamke si size yako unalialia nn tafuta wa level zako usikimbilie vikubwa utakua chizi shauri yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.