General John Tshibangu, mikononi mwa vyombo vya sheria

Faru12

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
391
Reaction score
235
22d3b54d7836ac486e34e8c85eca278a.jpg

COLONEL JOHN TSHIBANGU MIKONONI MWA VYOMBO VYA SHERIA VYA SERKALI YA CONGO. Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasa ya Kongo imethibitisha kumpokea kanali wa zamani wa jeshi la nchi hiyo John Tshibangu aliyekamatwa na vyombo vya usalama vya Tanzania juma moja lililopita baada ya kuonekana kwenye mkanda wa video akimpa siku 45 rais Joseph Kabila awe amejiuzulu au aipindue Serikali.

Waziri wa sheria nchini DRC Alexis Tambwe Mwamba amethibitisha kusafirishwa nchini humo kwa kanali John Tshibangu na kusisitiza kuwa kesi yake itasikilizwa kwa uwazi kama zilivyo kesi nyingine akithibitisha kuwa atashtakiwa kwa makosa ya uhaini.

Mke wa kanali Tshibangu, Mokee Tshibangu akiongea na idhaa ya Kiswahili ya RFI, amesema anahofia maisha ya mume wake na kuiomba Serikali isimchukulie mume wake kama muasi bali kama kamanda aliyeasi jeshi.

"Mimi binafsi sijafuraishwa na kitendo cha Serikali yetu ya tz kumtoa huyu jamaa, Migration, na Usalama wataifa hamja tenda haki kabisa.
 
Huyu mbona kama yule jamaa wa M23 au macho yangu
 
TANZANIA ITATAKIWA KULAANIWA KWA KITENDO CHA KUMKATA MTU NA KUMPELEKA CONGO ILI ANYONGWE NA KABILA.INABIDI TUFUATILIE KUONA KAMA ATANYONGWA BASI TUWAJIBISHE SERIKALI KWA YATAKAYOTOKEA
 
kwa hiyo ulitaka tumuhifadhi?
Jibu unalo mkuu. Huyu jamaa John Chibangu, katumikia taifa la Congo kwamda mrefu sana, zaidi ya miaka 25. Kabla JOSEPH KABILA hajawa Raisi, huyu JOHN CHIBANGU alifanya kazi na Desiré Kabila (kabila mzee) na Mobutu. ifahamike huyu sio muhalifu, huyu amejitenga na serekali ya Congo nakwenda kuunda kikosi chake baada ya kuona Raisi kabila yupo madarakani kinyume na katiba ya Congo. Vilevile Kabila sio Raiya wa Congo dunia nzima inatumbua hilo

ivo
 
Kwani alikuwa ana tuhusu? Au nia ya kumkamata ni ili Kabila atawale Congo milele?
John Chibangu hakuja hapa tizi kuishi Bali alikua kwenye matembezi tu. Ila kutokana na serekali hii ya magufuri imejaza wanyarwanda ndugu zake kabila Matokeo yake ndo haya Tumeyaone. Usalama wa taifa ni wanyarwanda watupu. Huko jeshini usisemi.

ivo
 
Hivi kulikuwa na haja gani ya kumsalimisha kwa kabila ??
 
John Chibangu hakuja hapa tizi kuishi Bali alikua kwenye matembezi tu. Ila kutokana na serekali hii ya magufuri imejaza wanyarwanda ndugu zake kabila Matokeo yake ndo haya Tumeyaone. Usalama wa taifa ni wanyarwanda watupu. Huko jeshini usisemi.

ivo
It's so sad, kuona tunajiingiza katika jambo la kutatanisha namna hii, sijasikia jumuia za kimataifa zikimcondemn huyu bwana.
 
John Chibangu hakuja hapa tizi kuishi Bali alikua kwenye matembezi tu. Ila kutokana na serekali hii ya magufuri imejaza wanyarwanda ndugu zake kabila Matokeo yake ndo haya Tumeyaone. Usalama wa taifa ni wanyarwanda watupu. Huko jeshini usisemi.

ivo
hujui kitu wewe?
 
Huyu mbona kama yule jamaa wa M23 au macho yangu
Hapana mkuu itakuwa macho yako. Huyo ni General John Chibangu, mzalendo, mtetezi wa wanyonge. Wa M23 niyule mnyarwanda alie tengenezwa na Kagame, wakishirikiana Museveni illi kupora rasilimali za congo

Back
Top Bottom