Recent content by Baguma Bunda

  1. B

    Nape: Mlipuko wa bomu la Arusha yawezekana ulipangwa na CHADEMA wenyewe

    Nafikiri unachokiongea Mhe. Nape ni upuuzi kabisa. Sina uhakika kama watanzania wote ni wajinga kuweza kukubaliana na propaganda unazozieneza kuhusu CHADEMA. Nafikri uwe unachukua muda mwingi kuwaza ni nini uongee kuliko kuropoka. Watu wamekufa, nchi inapoteza muelekeo halafu wewe unaongea...
  2. B

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    Hawa ni CCM kwani hamkusikia walimuandalia Rais Kikwete birthday. Pia wao kila siku uwa hawataki kuzungumzia habari zozote za CHADEMA ukiachilia mbali kushabikia kwamba Dr. Slaa ana kadi ya CCM mara zote wanaposoma magazeti habari zozote za CHADEMA utsikia wanasema hapo kasome mwenyewe. Ipo...
  3. B

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Piga kazi kijana tupate kinachoendelea. Nasikia kichefu chefu kwa yale yanayofanywa na CCM hasa huku MWZ nashukuru jana Nyerere kawajibu
  4. B

    Rais Kikwete amuumbua John Tendwa

    Huwa napata shida ninapokutana na mawazo ambayo ni ya watu wanaojiona wanjua kumbe ni mbumbumbu. Hivi wewe comment kama hii unaona umeandika kitu cha maana??. Quates zinatusaidia nini?. Je unataka kutwambia kwamba huyu bwana anachokisema ni uongo mpaka aweke quates. Kuwa muelewa usiuweke usiku...
  5. B

    Urais 2015: Mtei amshukia Zitto

    Kwa tamaa hii ya akina Zitto na Mbowe nina imani CCM itarudi madarakani. Nawashauri wanachadema wakae chini na kufikiri hivi Mbowe na Dr. Slaa nani anapendwa na wananchi wengi. Tusijidanganye mvuto wa wananchi kwa sasa ni kwa kazi anayoifanya Dr Slaa. Mkiamua kumuaweka pembenni jua mnatwanga...
  6. B

    Majibu ya Kigwangalla: Kwa Nini Sikusaini Hoja ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (MB)!

    HUNA AKILI KABISA PAMOJA NA PhD YAKO. UONI AIBU KUANDIKA UCHAFU WA NAMNA HII. YAANI UMEONA HAYA NDO MANENO YA KUWAELEZA WATU. NITASIKITIKA KAMA WANNCHCHI WA JIMBONI KWAKO HAWATAKUPIGA MAWE. MPUUZI MKUBWA Hana
  7. B

    Mbowe apigilia msumari

    Mimi nasubiri sahihi zikusanywe na namuomba mhe Zitto anisaidie kunipa taarifa kama mbunge wa jimbo langu la Karagwe Gozbert Blandes hatakuwa amesaini basi nitafanya kitu ambacho hataamini. Nitazunguka jimbo zima nikieleza usaliti anao ufanya kuanzia kusupport posho hadi ili na hatakuwa hatufai...
  8. B

    Kama kweli wabunge wa CCM ni wazelendo kwa hili muungeni mkono Zitto

    Ninachomuomba Mheshimiwa Zitto baada ya kukusanya sahihi anijulishe kupitia JF kama Mheshimiwa Gozibert Blandes Mbunge wa Karagwe naye ameweka sahihi yake katika zile 70. Naahidi kama hatasaini malipo yake atayakuta jimboni. Timu yote tutazunguka jimbo zima mpaka Chibogweizi tunaeleza usaliti...
  9. B

    Nape aivua nguo CCM,audanganya umma...

    Ni kweli mkuu CCM wana mtindo huo. Mbaya zaidi mara nyingine hao watu wakiisha letwa kwenye mikutano huwa wanatelekezwa yaani hawarudishwi makwao. Kali zaidi ilikuwa kwenye sherehe za CCM mwaka huu jijini Mwanza. Walisombwa kutoka kila wilaya na magari yalikuwa yanapita yanatangaza kuwa...
  10. B

    Ni sawa wizara kutumia kodi ya wananchi kutumika kwenye mazishi ya Kanumba?

    Nasikitika sana ninapoona watu wao kazi yao ni kupinga kila kitu. Hiyo siyo sera ya chama chochote. Kusema ukweli mchango wa Kanumba katika nchi hii ni wachache wameufikia. Nadiliki kusema hata mawaziri walio wengi hawajafikia hata nusu yake. Haki anastahili kufanyiwa yote haya. Huwezi kuniambia...
  11. B

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Ningeshauri kwenye masuala ya msiba tusiingize itikadi. Kanumba kafa acha azikwe then siasa zishike mkondo wake. Si vizuri kuingiza mambo ya magamba kwenye majonzi
  12. B

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Ni kweli kwa mtanzania mwenye roho ya upendo lazima atamlilia Kanumba "The great". Tumehuzunika kiasi cha kutosha ila hatuna jinsi siku yake imefika Mungu amlaze pema peponi Amen.
  13. B

    Nimesikitishwa na Watanzania!

    Nafikiri una matatizo ya akili. Hivi unataka kuniambia haujawahi kufiwa. Sisi ni watanzania na jadi yetu ni upendo. Mchango aliotoa Kanumba kwenye jamii ya Tanzania nina imani wewe itakuchukua muda kuufikia. Penye matatizo ushabiki wa kitu chochote unakaa pembeni. Kanumba kafa tunaomboleza...
Back
Top Bottom