Nape aivua nguo CCM,audanganya umma...

ukiona mchawi anaanza kutoboa siri za uchawi jue kunamambo 2 makubwa yanakuja,kama si kifo ni kuacha uchawi.Nape anatafuta mlango wakutokea,kumbuka Nape anatamani kuvaa gwanda lamakamanda lkn anashndwa.Mwandshi Nape kaikuta ccm uchi,cjui ninguo zipi unasema!ccm imebaki na ngozi na singuo na ngozi inaelekea ukingoni.wataweza kuishi?
 
Mimi nadhani huyu jamaa kaamua kueneza ukweli juu ya chama cha magamba kukusanya watu kwa maroli,na asingeweza kukitaja kwa jina kwani yeye ni msema chochote wa chama. Kwa maana nyingine kawasema wakubwa zake,INGAWA NA YEYE YUMO. ACHA WAFU WAZIKE WAFU WAO
 
Ni kweli mkuu CCM wana mtindo huo. Mbaya zaidi mara nyingine hao watu wakiisha letwa kwenye mikutano huwa wanatelekezwa yaani hawarudishwi makwao. Kali zaidi ilikuwa kwenye sherehe za CCM mwaka huu jijini Mwanza. Walisombwa kutoka kila wilaya na magari yalikuwa yanapita yanatangaza kuwa wamechinga Ng'ombe 100 na kuna chakula cha kutosha watu wahudhurie
 
sasa dhumuni la mtoa mada ni nini? kumpa umaarufu nape? ccm and nape wakafie mabli
 
Hiyo idara wamrudishe mapuri aendeleze uongo Nape anasikitisha sana kwakuwa mwisho wa utawala huu ndio mwisho wake, ujao sioni kundi litakalompa nafasi maana yote kayanyea (wapambanaji vs magamba aka mafisadi)
 
Back
Top Bottom