Hiyo shule ilishawahi kuwa na kashfa ya kuwa na mitihani kabla haijatolewa rasmi. Kwa hiyo sioni ajabu ikiwa wanafunzi wake wote watafaulu.
Wajinga ndio waliwao.
Hao hao wagalatia ndio tulioona wakiingamiza hii nchi toka ilipopata madaraka, wameifanya imekuwa maskini wa mwisho duniani...
JF hakuna hekima wala busara. Moderators wamepitwa na wakati. Mambo ya ban na sensor za maandiko ni ya zama za kiza na udikteta, zama za nyerere.
Hizi ni zama za dot com na vidole (digital) naona kupigana ban ni ujinga usio mfano. Kuna nini cha kuficha au kujificha kwenye mtandao zama hizi...
Naunga mkono hoja mia kwa mia, hata Bibilia inakataza usimwite mtu "baba".
Huyo Nyerere kama ni "baba" basi hakujuwa kulea wanae, kawawacha masikini hoi bin taabani, benki kuu wameirithi imechomwa moto na. Huyo labda ni baaa.
unaongelea Kikwete kama vile unaona kitu kibaya kutoka kwake. Kuna Rais wa Tanzania aliyeleta maendeleo ya muda mfupi zaidi ya Kikwete? Kuanzia elimu, siasa safi na uongozi bora? Licha ya afya, kilimo, utalii na nyanja nyingi nyinginezo zimepiga hatua kubwa kuliko awamu zote zilizopita kwa...
Nikisema Tanzania Mungu katujaalia Ardhi safi tunayoweza kuilima mwaka mzima, madini ya kila aina uijuayo na usiyoijuwa, mito, maziwa, mbuga za wanyama na kila kilicho na neema kasoro akili tu ndio katunyima. Hivi mleta mada nikikwambia wewe ni Mtanzania haswa tena wa kujivunia Utanzania wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.