Communist
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 5,400
- 1,186
Mungu Peke Yake....awekwe nani!?
Mungu Peke Yake....awekwe nani!?
Hakuna Gender Balance. Mama wa Taifa ni nani?Baada ya kunukuliwa akisema kuwa kama angekuwa na uwezo wa kuvikokota visiwa vinavyoishi binadamu wanaounda nchi inayoitwa Tanzania ni kuwa tayari Nyerere alishajivua dhamana ya uongozi wa baadhi ya Watanzania.
Dhihaka, kejeli na utusi dhidi ya Watanzania wanaofuata imani ya Kiislamu katika hotuba yake ya mwisho pale aliposema kuwa amefanikiwa kuondoa upogo wa kielimu kati ya Waislamu na Wakristo.
Kuwaweka mbele Wanaijeria Wakristo wa Biafra kuliko Watanzania "waliomchagua" kwa kutumia rasilimali na damu ya Taifa kuhakikisha kuwa Wakristo wa Biafra wanajitenga.
Hivi vyote vinamfanya Nyerere aondolewe jina la Baba wa Taifa.
*Mod tafadhali usiufute huu uzi kwa sababu ni pendekezo hivyo liko wazi kwa mjadala.
Mimi simuiti baba wa Taifa lakini wengine wanamuita baba wa Taifa huoni kuwa hili linaligawa Taifa?
Huoni kuwa njia bora ya kuunusuru "umoja" wa kitaifa ni kulifuta jina la baba wa Taifa?
Unaonaje kama haya mazoea tukayaondoa kabla hayajageuka kuwa rasmi?Mwalimu JK Nyerere hakuwahi kutamkwa,kuvikwa au kuapishwa kuwa Baba wa Taifa na mamlaka yoyote ile ya nchi. Watanzania wengi humuita hivyo kimazoea
Izack hebu soma hiyo attachment kidogo.
Sifa zipi?
Baada ya kunukuliwa akisema kuwa kama angekuwa na uwezo wa kuvikokota visiwa vinavyoishi binadamu wanaounda nchi inayoitwa Tanzania ni kuwa tayari Nyerere alishajivua dhamana ya uongozi wa baadhi ya Watanzania.
Dhihaka, kejeli na utusi dhidi ya Watanzania wanaofuata imani ya Kiislamu katika hotuba yake ya mwisho pale aliposema kuwa amefanikiwa kuondoa upogo wa kielimu kati ya Waislamu na Wakristo.
Kuwaweka mbele Wanaijeria Wakristo wa Biafra kuliko Watanzania "waliomchagua" kwa kutumia rasilimali na damu ya Taifa kuhakikisha kuwa Wakristo wa Biafra wanajitenga.
Hivi vyote vinamfanya Nyerere aondolewe jina la Baba wa Taifa.
*Mod tafadhali usiufute huu uzi kwa sababu ni pendekezo hivyo liko wazi kwa mjadala.
Kweli wewe ni kiboli na akili zako zipo kama kiboli chenyewe haya niambie jhon rupia alikua muislamu usidandie treni kwa mbele bro utaumia kibol huna hoja kaa kimya mabishano ya upuzi sio fani yangu
Dhambi ya watu weusi ni ubinafsi wewe unamchukia nyerere kwa sababu za udini laiti angekuwa mwislamu usingesema hayo uyasemayo lakini amini amini nakuambua itachukua muda mrefu sana kwa taifa kama la tanzania kuja kumpata mtu mwingine kama nyerere. Kwa sisi tuliokula chumvi kidogo tunaona tofauti kubwa iliyoko kati ya nyerere na viongozi wa leo. Wakati wa nyerere matibabu yalitolewa bure na yalikuwa madhuri tofauti na haya ambayo leo tunalipia lakini huduma ni mbovu. Wakati wa nyerere taifa lilikuwa na umoja na mshikamano vitendo vya wizi wa mali za umma na ufisadi unaousikia leo havikuwepo halikadhalika hakukua na udini tunauona leo mkristo na mwisilamu walishirkiana kwa kila jambo bila kubaguana.
wakati wa nyerere shule hata za msingi zilikuwa nzuri walimu waliheshimika walikuwa na moyo wa kufanya kazi hakukuwa na tofauti kubwa ya kipato kama tunayoiona leo. Elimu ilikuwa bora na haikulipiwa au kama ililipiwa ni kiasi kidogo sana watu walikuwa wachapa kazi. Mashuleni tulilima, tukafuga wanafunzi walipata chakula kizuri shuleni. vitabu vilikuwepo wanafunzi chuo kikuu walipewa mpaka hela ya sabuni na kununulia sigara leo watu wanaandamana kudai mikopo. Hakika watanzania tunaomlaumu nyerere tumekosa shukrani kabisa na mungu atatulaani nani kama nyerere atakaye tokea kuiongoza tena tanzania?
yaser Arafat (rip) alimkubali nyerere ndiyo sembuse wewe mburula na akili zako za mad-rasta
Baada ya kunukuliwa akisema kuwa kama angekuwa na uwezo wa kuvikokota visiwa vinavyoishi binadamu wanaounda nchi inayoitwa Tanzania ni kuwa tayari Nyerere alishajivua dhamana ya uongozi wa baadhi ya Watanzania.
Dhihaka, kejeli na utusi dhidi ya Watanzania wanaofuata imani ya Kiislamu katika hotuba yake ya mwisho pale aliposema kuwa amefanikiwa kuondoa upogo wa kielimu kati ya Waislamu na Wakristo.
Kuwaweka mbele Wanaijeria Wakristo wa Biafra kuliko Watanzania "waliomchagua" kwa kutumia rasilimali na damu ya Taifa kuhakikisha kuwa Wakristo wa Biafra wanajitenga.
Hivi vyote vinamfanya Nyerere aondolewe jina la Baba wa Taifa.
*Mod tafadhali usiufute huu uzi kwa sababu ni pendekezo hivyo liko wazi kwa mjadala.
...awekwe nani!?