Recent content by Babuu G

  1. Babuu G

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Polisi Rukwa: Vijana CCM hawakuwa na nia ya kuchoma nyumba ya Mbunge

    Bold neno "nia njema". Nia njema inakuwa guided na kuhakikisha kuwa Uchaguzi inakuwa huru na haki. Hivyo, kama kitendo chake hakikuwa katika kutekeleza Hilo anakuwa muhalifu kama wahalifu wengine hawana kinga
  2. Babuu G

    JamiiForums Tanzania Tupe maoni, ushauri, dokezo: Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum

    Jina la Wizara limeinclude usawa wa jinsia?
  3. Babuu G

    JamiiForums Tanzania Sheikh Yahya Hussein alikuwa mtu wa usalama!?

    Kila mtanzania ni usalama, so long as tunaizungumzia Nchi.
  4. Babuu G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania William Ruto avunja Baraza la Mawaziri Kenya

    Kuvunja Baraza la mawaziri sio suluhisho ya madai ya Gen z.... Yaani in what way inaboresha maisha ya wakenya?
  5. Babuu G

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya Juu (HESLB) kumtumia control namba mtu asiye na ajira ni kumuongezea stress, badilikeni!

    Kwenye ajira si wanakata PAYE... So it's a win win unasomeshwa unapata ajira then wanakata mshahara wako
  6. Babuu G

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya Juu (HESLB) kumtumia control namba mtu asiye na ajira ni kumuongezea stress, badilikeni!

    Mwanafunzi ametekeleza jukumu lake la kulipa Kodi toka akiwa mimba sasa ni jukumu la serikali insyokusanya Kodi hiyo kumsomesha. Kumkopesha ni kwamba amejusonesha while pia serikali imechukua Kodi yake. Elimu inapaswa kuwa Bure katika levels zote
  7. Babuu G

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya Juu (HESLB) kumtumia control namba mtu asiye na ajira ni kumuongezea stress, badilikeni!

    Vijana wapewe ufadhili na sio mkopo cause amekuwa akichangia Kodi kabla hara ya kuzaliwa ... It's absurd Viongozi wanavyolipana marupurupu ya billions of monies then mwanafunzi akopeshwe
  8. Babuu G

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuondoa Garden Love Mbaya?

    Masikini hana Demokrasia, wingi wa chawa si demokrasia but Ina prove otherwise
  9. Babuu G

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

    Binadamu unahoji kuhusu usahihi wa mungu? Itajulikana mbele kwa mbele twenty two (twende tu)
  10. Babuu G

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria Subsection 47A kwenye Criminal Procedure Act (CPA) yanaenda kumuokoa Luteni Urio na Polisi wote wahusika kwenye kesi ya Mbowe

    Reasoning ya vijana inakuwa clouded na siasa .... Sasa marekebisho haya jinsi yalivyo (ukiachana na kesi ya mbowe) yanaathari gani negative? Cause ukweli ni kwamba haikuwa mission yake ila alitumwa then deal na aliyemtuma period! Unashabikia kupiga tobo na chenga while score board inasoma...
  11. Babuu G

    JamiiForums Tanzania Jaji Jacob Mwambegele amrithi Kaijage. Ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi

    Duh! na umesema kuwa unamalizia kuandika report ya phd .... Mifumo yetu ya elimu inatatizo sehemu
  12. Babuu G

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    ========== USHUHUDA ====================================================== Banda 300,000 Piglets 80,000 Mpagazi 40,000 per month Umebaki na 80,000 Nguruwe ni atleast afikishe miezi 6 au 7 ili uweze kuuza na wewe umemnunua akiwa na miezi miwili so inakupa muda wa miezi 4 ili apandishwe...
Back
Top Bottom