Recent content by babusalakana96

  1. B

    Mrema anabaki Na goli wazi Vunjo

    Labda sio vunjo.mrema??ni kitu gani hicho??
  2. B

    Waalimu stand up for your rights

    Walimu kutokana na unafiki wao na kujikomba CCM wataliwa mpaka waishe.Na bado
  3. B

    Je, Unawafahamuje Hawa Wanasiasa?, John.Cheyo, F.Dovutwa Na Augustin Mrema

    Mrema hana lolote ni mchumia tumbo tu kwa sasa aende Vunjo aone Mbatia atakavyomkimbiza.Wananchi wa Vunjo wamechoka kudanganywa
  4. B

    Hongera raisi Kikwete

    Hivi wewe umekurupuka tu au ulikaa chini na kupanga cha kuandika? Kikwete katoka ziara ya Marekani baada ya X-mass huo ndo mwezi?
  5. B

    R.I.P Ariel Sharon ( shujaa aliyempendeza mungu kwa kulinda taifa lake)

    RIP Sharon you were what nowadays world want!!
  6. B

    CCM yapigwa mweleka uchaguzi wa TAHLISO Mwanza, CHADEMA waibuka kidedea

    Ndugu hawa jamaa walianza kuwasumbua wajumbe wa mkutano kuanzia siku ya kwanza ya mkutano! Walisimamisha mtu wao kutoka IFM dalili za kushindwa zilipojitokeza walianza kutumia dola kuwatisha wajumbe. Pongezi kwa wasomi hawa ambao walitumia kila njia kufanikisha agenda ya uchaguzi...
  7. B

    Mwanasheria wa Zitto atolea ufafanuzi makosa 11 ya Zitto na wenzake

    Hata huku Mwandiga HATUMTAKI aende Msoga kwa J.K.!
  8. B

    Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

    Wapambe angalieni watu hao!
  9. B

    Obama ana Hasira na Winnie?

    Mmesahau Winnie aliamua kula raha na kijana mdogo wa miaka 32 aliyekuwa mwanasheria wa ANC na alimletea TATA MADIBA kiburi alipomshauri asiende safari ya Ulaya? Alilewa penzi la kijana hivyo HASTAHILI kupata heshima ya Mandela. Asante Obama na wenzako kwa kuendelea kumfunza adabu Winnie!
  10. B

    Cwt kukata mishahara ya walimt

    naunga mkono hoja.cwt kife tu
  11. B

    Mbunge wa KARATU amefiwa na baba yake

    kamanda pole sana na Mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu. Roho ya marehemu ipumzike kwa amani.Amen
  12. B

    Godbless Lema - MESEJI YA VITISHO ILITOKA KWA MKUU WA MKOA

    ni mtoto wa Edward Ngoyayi Lowasa ambao ni MAGAMBA walewale. Tuwakatae.
  13. B

    Matokeo kidato cha sita 2013

    kuna taarifa kutoka 'jikoni' kuwa necta wanasubiri hawa vijana wamalize jkt mwishoni mwa mwezi huu ndipo yatoke.hivyo vuta subira,usiwe na haraka.
Back
Top Bottom