Mrema anabaki Na goli wazi Vunjo

Mrema anabaki Na goli wazi Vunjo

Majasho

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2009
Posts
413
Reaction score
221
Mgombea ubunge kwa tiketi ya TLP, Augustino Mrema anatarajia kutetea kiti chake kwa kura nyingi baada Ya wapinzani wake James mbatia wa ukawa na innocent shirima wa Ccm wameachwa Kwenye mataa Na vyama vyao. KWenye mpira tunasema "Mrema kampiga kipa chenga goli Lipo wazi" Nasema hivyo Kwa Sababu zifuatazo:

1. Innocent shirima wa Ccm amekata tamaa baada Ya magufuli kumnadi Mrema badala Yake Na Tanzania nzima kujua, amekuwa akizomewa na wafuasi Ccm Na ukawa jimboni Vunjo kiasi cha kwamba amebandua poster zake kwenye Gari lake. Wafuasi wa Ccm Kwenye jimbo hilo wamesema watafuata maagizo ya magufuli Na watampa kura Mrema.

2. James mbatia wa ukawa hata pata kura Vunjo kwa sababu haonekani Vunjo yeye yupo ubavuni Mwa lowassa. Wanavunjo wanauliza kama Kwenye kampeni haonekani akipata ubunge itakuaje? Mbatia hana makazi Vunjo Nyumba anayofikia ni Ya wazazi wake, kiasi cha watu Vunjo kumwita "yahaya". Mbatia hana mke wala Mtoto wana Vunjo wanauliza ataongozaje jimbo la Vunjo na ubachela wake ataenda kustarehe Dar Es salaam. Pia, historia ya baba Yake aliyekuwa akiwatumikisha watu wa Vunjo Kwenye mashamba Yake bila kuwalipa malipo stahiki. Madiwani wa Chadema kumtosa mbatia na kuahidi kumpigia kura Mrema kwa kuwa mbatia anaua Chadema Vunjo kwa kung'ang'ania kuweka madiwani wa Nccr kata zote 16 na kuwanyima Chadema kata 8 kama walivyokibaliana Kwenye ukawa.

3. Heshima magufuli aliyompa Mrema Kwa kumnadi awe Mbunge wa Vunjo na pia kuvunja msafara kumfuata Mrema alipo na kumsalimia "shikamoo Mzee wangu". Kama Kweli magufuli anaweza kumpa Mrema heshima yote hiyo wana Vunjo watakuwa wezi wa fadhila wakimyima kura

4. Historia ya Mrema inambeba kafanya mengi Vunjo kwa mfano kufuta kodi Za akina mama, kupata bei Mzuri Ya kahawa yote hayo yanakumbukwa enzi Za uwaziri wake.
 
Dah kuna mambo mengine nikisoma siamini kama watanzani wanafikria hivyo. Mrema atasaidia vipi taifa sasa hivi.? Tuacheni mambo ya ajabu watanzania.!
 
ina maana unaamini alichokiandika huyu jamaa? Mrema ni history vunjo, hata akihutubia sokoni watu wanapita tu, kama kuna goli wazi ni kwa mbatia
 
Dah kuna mambo mengine nikisoma siamini kama watanzani wanafikria hivyo. Mrema atasaidia vipi taifa sasa hivi.? Tuacheni mambo ya ajabu watanzania.!
kingunge anasaidia vpi kwenye kampeni za ukawa?
 
Dah kuna mambo mengine nikisoma siamini kama watanzani wanafikria hivyo. Mrema atasaidia vipi taifa sasa hivi.? Tuacheni mambo ya ajabu watanzania.!

Kingwendu je? Atasaidiaje Bunge letu Na Taifa
 
Bora kingunge ataisaidia ukawa kuwang'oa wazee waliosalia kuishabikia ccm kuja ukawa sio mrema kwa ccm
 
Mrema kushinda Vunjo si jambo baya maadamu CCM haishindi hilo jimbo...

CCM ikifa huko ni ahueni kwa wapinzani...
 
Mgombea ubunge kwa tiketi ya TLP, Augustino Mrema anatarajia kutetea kiti chake kwa kura nyingi baada Ya wapinzani wake James mbatia wa ukawa na innocent shirima wa Ccm wameachwa Kwenye mataa Na vyama vyao. KWenye mpira tunasema "Mrema kampiga kipa chenga goli Lipo wazi" Nasema hivyo Kwa Sababu zifuatazo:

1. Innocent shirima wa Ccm amekata tamaa baada Ya magufuli kumnadi Mrema badala Yake Na Tanzania nzima kujua, amekuwa akizomewa na wafuasi Ccm Na ukawa jimboni Vunjo kiasi cha kwamba amebandua poster zake kwenye Gari lake. Wafuasi wa Ccm Kwenye jimbo hilo wamesema watafuata maagizo ya magufuli Na watampa kura Mrema.

2. James mbatia wa ukawa hata pata kura Vunjo kwa sababu haonekani Vunjo yeye yupo ubavuni Mwa lowassa. Wanavunjo wanauliza kama Kwenye kampeni haonekani akipata ubunge itakuaje? Mbatia hana makazi Vunjo Nyumba anayofikia ni Ya wazazi wake, kiasi cha watu Vunjo kumwita "yahaya". Mbatia hana mke wala Mtoto wana Vunjo wanauliza ataongozaje jimbo la Vunjo na ubachela wake ataenda kustarehe Dar Es salaam. Pia, historia ya baba Yake aliyekuwa akiwatumikisha watu wa Vunjo Kwenye mashamba Yake bila kuwalipa malipo stahiki. Madiwani wa Chadema kumtosa mbatia na kuahidi kumpigia kura Mrema kwa kuwa mbatia anaua Chadema Vunjo kwa kung'ang'ania kuweka madiwani wa Nccr kata zote 16 na kuwanyima Chadema kata 8 kama walivyokibaliana Kwenye ukawa.

3. Heshima magufuli aliyompa Mrema Kwa kumnadi awe Mbunge wa Vunjo na pia kuvunja msafara kumfuata Mrema alipo na kumsalimia "shikamoo Mzee wangu". Kama Kweli magufuli anaweza kumpa Mrema heshima yote hiyo wana Vunjo watakuwa wezi wa fadhila wakimyima kura

4. Historia ya Mrema inambeba kafanya mengi Vunjo kwa mfano kufuta kodi Za akina mama, kupata bei Mzuri Ya kahawa yote hayo yanakumbukwa enzi Za uwaziri wake.

Uongo utawapeleka wapi?
 
Dah kuna mambo mengine nikisoma siamini kama watanzani wanafikria hivyo. Mrema atasaidia vipi taifa sasa hivi.? Tuacheni mambo ya ajabu watanzania.!

Muulize Mwakyembe, masuala ya utaifa yametoa mchango gani jimboni kwake.
 
Shikamoo mzee wangu eti nayo ni sifa ya mtu kupewa ubunge.
 
Mgombea ubunge kwa tiketi ya TLP, Augustino Mrema anatarajia kutetea kiti chake kwa kura nyingi baada Ya wapinzani wake James mbatia wa ukawa na innocent shirima wa Ccm wameachwa Kwenye mataa Na vyama vyao. KWenye mpira tunasema "Mrema kampiga kipa chenga goli Lipo wazi" Nasema hivyo Kwa Sababu zifuatazo:

1. Innocent shirima wa Ccm amekata tamaa baada Ya magufuli kumnadi Mrema badala Yake Na Tanzania nzima kujua, amekuwa akizomewa na wafuasi Ccm Na ukawa jimboni Vunjo kiasi cha kwamba amebandua poster zake kwenye Gari lake. Wafuasi wa Ccm Kwenye jimbo hilo wamesema watafuata maagizo ya magufuli Na watampa kura Mrema.

2. James mbatia wa ukawa hata pata kura Vunjo kwa sababu haonekani Vunjo yeye yupo ubavuni Mwa lowassa. Wanavunjo wanauliza kama Kwenye kampeni haonekani akipata ubunge itakuaje? Mbatia hana makazi Vunjo Nyumba anayofikia ni Ya wazazi wake, kiasi cha watu Vunjo kumwita "yahaya". Mbatia hana mke wala Mtoto wana Vunjo wanauliza ataongozaje jimbo la Vunjo na ubachela wake ataenda kustarehe Dar Es salaam. Pia, historia ya baba Yake aliyekuwa akiwatumikisha watu wa Vunjo Kwenye mashamba Yake bila kuwalipa malipo stahiki. Madiwani wa Chadema kumtosa mbatia na kuahidi kumpigia kura Mrema kwa kuwa mbatia anaua Chadema Vunjo kwa kung'ang'ania kuweka madiwani wa Nccr kata zote 16 na kuwanyima Chadema kata 8 kama walivyokibaliana Kwenye ukawa.

3. Heshima magufuli aliyompa Mrema Kwa kumnadi awe Mbunge wa Vunjo na pia kuvunja msafara kumfuata Mrema alipo na kumsalimia "shikamoo Mzee wangu". Kama Kweli magufuli anaweza kumpa Mrema heshima yote hiyo wana Vunjo watakuwa wezi wa fadhila wakimyima kura

4. Historia ya Mrema inambeba kafanya mengi Vunjo kwa mfano kufuta kodi Za akina mama, kupata bei Mzuri Ya kahawa yote hayo yanakumbukwa enzi Za uwaziri wake.
Mh! Mbatia hana Mke? Kwa vyovyote unapulizwa kalio wewe.
 
Back
Top Bottom