Matokeo kidato cha sita 2013

Haki ya mama CHADEMA ni janga baya kha!

Mkuu mandieta, siasa inahusika nini na matokeo ya form six ? Watu tutashindwa kufanya shughuli zetu za maendeleo maana hata ukikaa kijiweni kuanzia asubuhi mpaka jioni, ukifika nyumba familia yako ikakuomba matumizi, unasema CCM na CHADEMA wamesababisha sina pesa.
 
Last edited by a moderator:
bora ukatulia tu tokeo litakuja lenyewe hayo mambo ya tetesi ni kuumizana vichwa
 
Samahanini wadau naomba kujua km kuna mweny tetesi kuhusu matokeo kidato cha sita 2013 anifahamishe ni lin yatatangazwa?

kuna taarifa kutoka 'jikoni' kuwa necta wanasubiri hawa vijana wamalize jkt mwishoni mwa mwezi huu ndipo yatoke.hivyo vuta subira,usiwe na haraka.
 
Jaman mi naona soltn n kukp kmya maana matokeo ya 4m 6 yamekua km mvua ya kiangaz ambapo wa2 wanaisubr inyeshe..BUT,guyz naomba mnijulshe hv n kwel zoez la kwenda JKT n lazm kw 4m 6 walio home kw sasa?
 
Back
Top Bottom