CCM yapigwa mweleka uchaguzi wa TAHLISO Mwanza, CHADEMA waibuka kidedea

Kitu kinacho onekana ni pigo kwa Ndugu January Makamba anaye taraji kutumia mtandao wa wanavyuo umeingia mchanga baada ya Kiongozi wa TAHLISO kutoka chuo cha Bugando kuwa ni mfuasi wa karibu wa CDM hivyo njozi za January Makamba zimeanza kufifia kwa kasi sana. Baadhi ya makada wa CCM wameonekana kumshambulia ndg Christopher Ngubiagai kwa kushindwa kupanga vizuri karata zake ili khali yeye ndio shughuli yake ya kuhudumia vyuo vikuu. Makada wengi wa elimu ya juu wanasema watamshauri Katibu mkuu wao Kinana amuondoe huyu Christopher Ngubiagai Rais mpya wa Tahliso anaitwa Musa Mdede toka Bugando. January Makamba umepigwa brother Kumbuka kuwa Ujana sio sifa lakini pia Uzee sio Kashifa.

Ndugu hawa jamaa walianza kuwasumbua wajumbe wa mkutano kuanzia siku ya kwanza ya mkutano!
Walisimamisha mtu wao kutoka IFM dalili za kushindwa zilipojitokeza walianza kutumia dola kuwatisha wajumbe.
Pongezi kwa wasomi hawa ambao walitumia kila njia kufanikisha agenda ya uchaguzi.
Uchaguzi umekwisha,"JIPANGENI"upya.
 
Kitu kinacho onekana ni pigo kwa Ndugu January Makamba anaye taraji kutumia mtandao wa wanavyuo umeingia mchanga baada ya Kiongozi wa TAHLISO kutoka chuo cha Bugando kuwa ni mfuasi wa karibu wa CDM hivyo njozi za January Makamba zimeanza kufifia kwa kasi sana. Baadhi ya makada wa CCM wameonekana kumshambulia ndg Christopher Ngubiagai kwa kushindwa kupanga vizuri karata zake ili khali yeye ndio shughuli yake ya kuhudumia vyuo vikuu. Makada wengi wa elimu ya juu wanasema watamshauri Katibu mkuu wao Kinana amuondoe huyu Christopher Ngubiagai Rais mpya wa Tahliso anaitwa Musa Mdede toka Bugando. January Makamba umepigwa brother Kumbuka kuwa Ujana sio sifa lakini pia Uzee sio Kashifa.
hivi huko bugando mnachagua viongozi wa wanafunzi kwa ajili ya akademic au mnachagua viongozi wa vyama vya siasa? non sense.
 
mimi naichukia sana gongo pamoja na wanaoitumia. Hebu tueleze hapa kwa ufasaha kuwa wewe hutumii hiki kinywaji...wasomi wa siku hizi wamechagua easy option ya siasa kwa sababu wameshindwa kushugulisha bongo zao kwenye masomo.. Tahliso sio taasisi ya kisiasa lakini inatumika na wanasiasa kwa malengo ya kisiasa... Nini was the rationale behind your comment then?
Unachokichukia ndiyo unakitenda.Unachukia wanywa gongo unasapoti wauza madawa ya kulevya.
 
sio kweli. Mkoa wa mwanza una majimbo 8 ya uchaguzi. Ccm ina majimbo 5 chadema ina matatu. Unatoa wapi authority ya kuamini kwamba machadema ndio yametawala siasa za mwanza? Danganya watoto wenzako huko kwenye rede

Subiri uone uchaguzi unaokuja, labda wakatae kuandikisha daftari jipya la wapiga kura, halafu polisi CCM ifanye kazi yake wakishirikiana na TISS CCM, waibe kwa nguvu zote hapo ndo wanaweza kupata walau jimbo moja!
 
mkuu, kwanini tusijadili ubora wa elimu ya vyuo hivyo badala ya kujadili uchadema na uccm kwenye ishu nyeti ya taaluma?
Leo mapenzi ya siasa umeyakana ? wakati ndo kazi yako kushabikia ccm ? na huo ubora wa elimu unaotaka ijadiliwe kwa akili yako anaye weza kukifanya chuo kiwe bora ni nani ? je ni serikali, walimu au mwanafunzi ?
 
Kitu kinacho onekana ni pigo kwa Ndugu January Makamba anaye taraji kutumia mtandao wa wanavyuo umeingia mchanga baada ya Kiongozi wa TAHLISO kutoka chuo cha Bugando kuwa ni mfuasi wa karibu wa CDM hivyo njozi za January Makamba zimeanza kufifia kwa kasi sana. Baadhi ya makada wa CCM wameonekana kumshambulia ndg Christopher Ngubiagai kwa kushindwa kupanga vizuri karata zake ili khali yeye ndio shughuli yake ya kuhudumia vyuo vikuu. Makada wengi wa elimu ya juu wanasema watmagamba yanakemewe na kila mtu kama shetani anavyoshambuliwa kila kona
 
hakuna correlation ya matusi yako na comment yangu na hoja iliyopo mezani. Umeathiriwa na gongo ndio mana unaandika upuuzi jukwaani. Pole sana mkuu
Hiyo comment yako tosha ni tusi kubwa kwa Chama kikubwa na chenye Hadhi kama Chadema....

Usimjibu mpu.umb.avu kwa hekima usije ukaonekana na wewe ni mpu.mb,avu..."
 
Subiri uone uchaguzi unaokuja, labda wakatae kuandikisha daftari jipya la wapiga kura, halafu polisi CCM ifanye kazi yake wakishirikiana na TISS CCM, waibe kwa nguvu zote hapo ndo wanaweza kupata walau jimbo moja!

Mkuu hao unaowaita polisi ccm ndiyo waliomlinda yule babu yenu mkwapuzi wa wake za watu ili asidhuriwe Wanakigoma na akawashukuru sana
 
sio kweli. Mkoa wa mwanza una majimbo 8 ya uchaguzi. Ccm ina majimbo 5 chadema ina matatu. Unatoa wapi authority ya kuamini kwamba machadema ndio yametawala siasa za mwanza? Danganya watoto wenzako huko kwenye rede

cheki gamba linavohangaika kujitetea hapa umeshikwa pa kupumulia lazima ccm mfe
 
kitu kinacho onekana ni pigo kwa ndugu january makamba anaye taraji kutumia mtandao wa wanavyuo umeingia mchanga baada ya kiongozi wa tahliso kutoka chuo cha bugando kuwa ni mfuasi wa karibu wa cdm hivyo njozi za january makamba zimeanza kufifia kwa kasi sana. Baadhi ya makada wa ccm wameonekana kumshambulia ndg christopher ngubiagai kwa kushindwa kupanga vizuri karata zake ili khali yeye ndio shughuli yake ya kuhudumia vyuo vikuu. Makada wengi wa elimu ya juu wanasema watamshauri katibu mkuu wao kinana amuondoe huyu christopher ngubiagai rais mpya wa tahliso anaitwa musa mdede toka bugando. January makamba umepigwa brother kumbuka kuwa ujana sio sifa lakini pia uzee sio kashifa.
aaah vijana wananjaa hao watahongwa na miccm
 
Kitu kinacho onekana ni pigo kwa Ndugu January Makamba anaye taraji kutumia mtandao wa wanavyuo umeingia mchanga baada ya Kiongozi wa TAHLISO kutoka chuo cha Bugando kuwa ni mfuasi wa karibu wa CDM hivyo njozi za January Makamba zimeanza kufifia kwa kasi sana. Baadhi ya makada wa CCM wameonekana kumshambulia ndg Christopher Ngubiagai kwa kushindwa kupanga vizuri karata zake ili khali yeye ndio shughuli yake ya kuhudumia vyuo vikuu. Makada wengi wa elimu ya juu wanasema watamshauri Katibu mkuu wao Kinana amuondoe huyu Christopher Ngubiagai Rais mpya wa Tahliso anaitwa Musa Mdede toka Bugando. January Makamba umepigwa brother Kumbuka kuwa Ujana sio sifa lakini pia Uzee sio Kashifa.
ccm wkifanya hila dhidi ya chadema lazima itawarudi wenyewe,kila siku nawaambia maneno haya lakini hawataki kunisikia, hila za ccm sasahivi hazifichiki
 
Back
Top Bottom