Recent content by Babu Original

  1. B

    Imethibitishwa na Serikali... Babu wa Loliondo ni Tapeli

    wajinga ndio waliwao na cha mlevi huliwa na mgema.
  2. B

    Anahitajika clinical officer na labaratory assistant

    I am a holder of certificate in clinical medicine NTA level 5 with 4 years working experience. I am seeking for a job {full time}. Contct: 0789256655 for more details.
  3. B

    Karibu tena Prof. Mark Mwandosya...!

    Akilala njaa huyo atasema kilimo kwanza!
  4. B

    Mh Lowasa Mzima wa Afya na yupo Bungeni leo hii:

    Tuma picha ili akina Toma tuamini unachokisema.
  5. B

    Wakati sasa umefika kwa watanzania wafanyakazi wote bila kujali itikadi zetu kukataa hili

    Life expectany ya mtz sasa ni below 40 sasa wanataka kutuambia nn? Madhara ya serikali dhaifu haya!
  6. B

    Rais wa Zanzibar 'Hataki Muungano'

    Kwanini kwenye muungano hawasemi liwalo na liwe hii ni ndoa ya mabavu. Watanganyika tunang'ang'ania kuwabaka Wazanzibar
  7. B

    Kauli ya mkuu wa nchi kuhusu mgomo wa wafanyakazi;Ni ubabe au busara?

    Hizi kauli: ... 'Mgaya hamtamwona tena' na 'Liwalo na liwe' mimi binafsi zinapeleka hisia zangu mbali sana.
  8. B

    Ogopa Mgomo Baridi: Muhimbili hakufai

    Ni wapi hao vodafasta?
  9. B

    Ushuhuda wa MAKALIO MAKUBWA NA ATHALI ZAKE

    Mie hapo sichangii, napita kimya.
  10. B

    Matusi ya nguoni aliyotukanwa mzee Ruksa.

    Kwa anayekumbuka naomba anitonye.. Enzi zile UDSM.
  11. B

    Wazee wa East Africa Community wamelipwa madai yao?

    Kama kweli haki ya mtu haipotei je, huyu JIKE na maswahiba wake watakuwa na immunity ya aina gani ili wasiburuzwe korti
Back
Top Bottom