Recent content by Babu Marasta

  1. Babu Marasta

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya mwaka 7000BC na wewe unae soma Uzi huu

    Nuff Respect
  2. Babu Marasta

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumuiga Pacome kuweka bleach kichwani lakini uwezi kumuiga ubora wake!

    Ukiweka bleach umewapa watu urahisi wa kukupinpoint uwanjani, kwa sasa Pacome na Bruno Guimaraes ndio wanaitendea haki bleach
  3. Babu Marasta

    JamiiForums Tanzania Tarehe 9-12-1961 ilikukuta wapi?

    Nilikua nafuatilia mafao yangu kwenye serikali ya mkoloni
  4. Babu Marasta

    JamiiForums Tanzania Vodacom acheni wizi wa rejareja

    Sitisha huduma ya "matumizi bila bando" kwenye line yako
  5. Babu Marasta

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakoloni wameamua kutembelea makoloni yao kwa mpigo

    Wamejifunza kupitia mapinduzi yanayotokea nchi za Afrika magharibi, raia wameonesha wazi wamechoka na hawataki mahusiano yasiyo na tija na mkoloni Ufaransa
  6. Babu Marasta

    JamiiForums Tanzania Kwani Mwigulu Nchemba ni nani bwana wewe?

    Baada ya kuzunguka nchi nzima mkiandika Mwigulu rais, sasa mnaandaa mikakati mipya na safari hii bajeti itakua imeshiba zaidi ndio maana uko hapa na kitambi cha tozo ukimtakatisha Tajir
  7. Babu Marasta

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu: Wanafunzi wa imani ya Rastafari kusoma wakiwa na rasta asili

    Namaste, thanks and praises to Jah rastafari
  8. Babu Marasta

    JamiiForums Tanzania Sifa ya kwanza ya kiongozi mbovu wa Afrika ni kusifiwa na wazungu

    Upo sahihi mkuu, hakuna kiongozi makini wa afrika atakayependwa na mabeberu historia inadhihirisha hilo. Katika freedom fighters wa afrika Mandela pekee ndiye anayeimbwa sana na mabeberu na hii ni kwwa sababu alilinda maslahi yao, huwezi kumskia Nyerere, Lumumba,Sankara na wazalendo wengine...
  9. Babu Marasta

    JamiiForums Tanzania Nafikiria jinsi ambavyo nitaileta hii biashara huko Tanzania

    Tushirikishe wazawa tufanye kazi
  10. Babu Marasta

    JamiiForums Tanzania Pepsi wameharibu kabisa kuleta hizi big hazina radha. Zile chupa ndogo mwake

    Wameongeza maji sio? ujazo extra kwa bei Ile ile ya jero
  11. Babu Marasta

    JamiiForums Tanzania Michael Jai White Ni moja ya actor konki sana

    Usimsahau mkali wa capoeira Lateef Crowder
  12. Babu Marasta

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Naamini mkiungana mtafanya jambo
  13. Babu Marasta

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani nikila chakula nasikia njaa baada ya muda mfupi

    Subiri anakula Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Babu Marasta

    JamiiForums Tanzania Unafurahia nini na maisha yako katika historia ya kuvuta bangi(all about weed)

    Man made beer, God made weed. In God We Trust! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom