- Thread starter
- #41
Kafanye kazi
Unakuta ni lidume Zima upo kuimba mapambio
Wanaume wameisha akiyanani
Be proud na watu wanaofanya mema kwenye jamii mlitaka tumsifie kipara ambaye amekimbia wizara sio
Kafanye kazi
Unakuta ni lidume Zima upo kuimba mapambio
Wanaume wameisha akiyanani
sina mtu mm, huyo kipara mwenye namchukia kama nn maana hana lolote analoisaidiaga nchi akipewa nafasi, anajiwazaga yy tu.
2030 huyo ndo rais wa Tanzania
Baada ya kuzunguka nchi nzima mkiandika Mwigulu rais, sasa mnaandaa mikakati mipya na safari hii bajeti itakua imeshiba zaidi ndio maana uko hapa na kitambi cha tozo ukimtakatisha Tajir
Kama hamuwezi hamieni Burundi,alisikika mlevi mmoja aliyepewa uwaxiri akoropkoka.Kwa taarifa yako ni kwamba kwa sasa kwa Nchi za East Afrika Tanzania ndiyo yenye mfumuko mdogo wa bei za bidhaa na huduma angalia bei ya petroli Kenya utaniambia angalia bei za vyakula Uganda Tanzania tupo vizuri pamoja na janga la Dunia
Tumekusoma dada EstherUnamfahamu Madelu Lameck Mwigulu Nchemba ? nimeguswa na kuamua kuandika makala haya kuhusu mbunge wa Iramba Singida Waziri wa fedha na baba wa familia ya watu wengi sana wanaomzunguka : Nitamuelezea Mwigulu kwa namna ninavyomfahamu kwa mambo yafuatayo :
Moja Mwigulu Nchemba ni mtu mwenye huruma na upendo haya yote yanaonekana katika maisha yake , anaidadi ambayo haina mwisho ya kusaidia watu Mwigulu hakusaidii mtu ili uende bali husaidia watu ili wafike anakusaidia huku ukiishi kwenye maisha yake yaleyale sio kubagua , atakusaidia na kukufanya ndugu hakuachi uende ! Mwigulu ni mwalimu , mlezi , mganga kwa wagonjwa faraja kwa wazee na wajane yatima ndio usiseme huyu ni kimbilio la wengi sana .
Mwigulu ninayemfahamu mimi nimtu wa kujituma kwaajili ya taifa lake halali , yupo tayari kubeba lawama ili mradi jambo muhimu la Kitaifa liweze kufanikiwa , nimsomi mwenye udaktari wa Uchumi elimu yake ya kweli kwani kaivusha Nchi katika wakati ambao Dunia inapita katika janga kubwa la anguko la uchumi .
Zaidi Mwigulu ni mtu mwenye moyo wa uvumilivu sana hasa anaposhambuliwa humkuti akijibu mitandaoni majibu yake daima atajibia bungeni haijalishi umemuandama namna gani yeye atakujibu kwa kutumia kanuni na jambo lenyewe lilivyo .
Mwigulu ni mtu wa maamuzi , sifa kubwa inayompasa kila kiongozi kuwa nayo sio mtu wa kuyumba yumba ana msimamo na jambo ambalo ni muhimu kwa wakati huo kwa taifa lake lakini zaidi ni mtu anayeshaurika , kusikiliza watu nadhani ni waziri wa kwanza Tanzania kuwa na uthubutu wa kusikiliza maoni dukuduku , changamoto za watu mbele ya hadhara huku kila mtu akinena anavyotaka .
Wengi tulishuhudia hili anapomaliza kusikiliza watu wanamkimbilia na kumshangilia hata ungekua wewe ungefurahi kuwa na kiongozi wa namna hii ya Mwigulu Nchema .
Kubwa zaidi ninalompendea Mwigulu Nchemba hana kinyongo na mtu kwa wizara anayoongoza angeitumia kama fimbo kwa wabaya wake lakini yeye huwatumikia wote kwa usawa kwani anajua akiwa kama waziri wa fedha hana mpinzani tofauti na baadhi ya mawaziri wanaotumia ofisi zao vibaya .
Kubwa na muhimu kwa Nchi Mwigulu ni Mzalendo sana kwa nchi yake mtiifu sana kwa watu wote anaowaongoza na mtiifu sana kwa Mh Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania .
Kwa sasa Ndiye Waziri ambaye mataifa mengi ya Afrika yanatamani angekuwa ndiye waziri wao Mungu ametupa huyu mtu tumtumie .
Yaan nilivyoona kichwa cha habar nikatamani nisome content nzima ila baada ya kusoma paragraph 3 [emoji706][emoji706]kumbe ni chawa pro max,any way hayo ya kusema anasaidia watu wengi sikatai sababu wewe ndio unamfahamu,but kusema ameivusha nchi kwenye kipindi kudumu ndio uchawa wenyewe huo
Alikuwa haishi kwenda kwa yule mganga wake mwenye titi mojahuyu jamaa alitoa ahadi ya kuchangia 10m dhehebu la kkt hapa dar, mchungaji alipiga simu na kutuma sms mpaka mwishowe akajichokea.
hyu jamaa alipopigwa chini enzi za magu alikuwa kama kuku anayetaka kutaga, nadhani mnanielewa, watu wanakumbuka alichowafanyaga cdm arusha akiwa kiongozi wa kundi fulani, sifa unazompa hazimstahili
Kama hamuwezi hamieni Burundi,alisikika mlevi mmoja aliyepewa uwaxiri akoropkoka.
Alikuwa haishi kwenda kwa yule mganga wake mwenye titi moja
Na kuongeza maradufu fleet ya Esther Luxury CoachWe mpambe vyovyote unavyoweza hapambiki
Nafasi yake aliyonayo alichoweza ni kuongeza mitozo.
Andiko lako lingebalance kama ungeweka yaliyo tokea toka akiwa uvccm na wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani! Usisahau ile miili ya watu iliyoonekana kwenye viroba.Unamfahamu Madelu Lameck Mwigulu Nchemba ? nimeguswa na kuamua kuandika makala haya kuhusu mbunge wa Iramba Singida Waziri wa fedha na baba wa familia ya watu wengi sana wanaomzunguka : Nitamuelezea Mwigulu kwa namna ninavyomfahamu kwa mambo yafuatayo :
Moja Mwigulu Nchemba ni mtu mwenye huruma na upendo haya yote yanaonekana katika maisha yake , anaidadi ambayo haina mwisho ya kusaidia watu Mwigulu hakusaidii mtu ili uende bali husaidia watu ili wafike anakusaidia huku ukiishi kwenye maisha yake yaleyale sio kubagua , atakusaidia na kukufanya ndugu hakuachi uende ! Mwigulu ni mwalimu , mlezi , mganga kwa wagonjwa faraja kwa wazee na wajane yatima ndio usiseme huyu ni kimbilio la wengi sana .
Mwigulu ninayemfahamu mimi nimtu wa kujituma kwaajili ya taifa lake halali , yupo tayari kubeba lawama ili mradi jambo muhimu la Kitaifa liweze kufanikiwa , nimsomi mwenye udaktari wa Uchumi elimu yake ya kweli kwani kaivusha Nchi katika wakati ambao Dunia inapita katika janga kubwa la anguko la uchumi .
Zaidi Mwigulu ni mtu mwenye moyo wa uvumilivu sana hasa anaposhambuliwa humkuti akijibu mitandaoni majibu yake daima atajibia bungeni haijalishi umemuandama namna gani yeye atakujibu kwa kutumia kanuni na jambo lenyewe lilivyo .
Mwigulu ni mtu wa maamuzi , sifa kubwa inayompasa kila kiongozi kuwa nayo sio mtu wa kuyumba yumba ana msimamo na jambo ambalo ni muhimu kwa wakati huo kwa taifa lake lakini zaidi ni mtu anayeshaurika , kusikiliza watu nadhani ni waziri wa kwanza Tanzania kuwa na uthubutu wa kusikiliza maoni dukuduku , changamoto za watu mbele ya hadhara huku kila mtu akinena anavyotaka .
Wengi tulishuhudia hili anapomaliza kusikiliza watu wanamkimbilia na kumshangilia hata ungekua wewe ungefurahi kuwa na kiongozi wa namna hii ya Mwigulu Nchema .
Kubwa zaidi ninalompendea Mwigulu Nchemba hana kinyongo na mtu kwa wizara anayoongoza angeitumia kama fimbo kwa wabaya wake lakini yeye huwatumikia wote kwa usawa kwani anajua akiwa kama waziri wa fedha hana mpinzani tofauti na baadhi ya mawaziri wanaotumia ofisi zao vibaya .
Kubwa na muhimu kwa Nchi Mwigulu ni Mzalendo sana kwa nchi yake mtiifu sana kwa watu wote anaowaongoza na mtiifu sana kwa Mh Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania .
Kwa sasa Ndiye Waziri ambaye mataifa mengi ya Afrika yanatamani angekuwa ndiye waziri wao Mungu ametupa huyu mtu tumtumie .
Damu za waliokufa pale Soweto Arusha zinamlilia hadi aingie kaburiniKumbe mtoto
Bila kusahau unyama aliomfanyia yule jamaa aliyemwagia tindikali kisha kumgeuza sanamu la kuikandia Chadema kwenye mikutano yake,huyu ni hayawani kama hayawani wengine wa porini.Andiko lako lingebalance kama ungeweka yaliyo tokea toka akiwa uvccm na wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani! Usisahau ile miili ya watu iliyoonekana kwenye viroba.
Alikuwa haishi kwenda kwa yule mganga wake mwenye titi moja
Bila kusahau unyama aliomfanyia yule jamaa aliyemwagia tindikali kisha kumgeuza sanamu la kuikandia Chadema kwenye mikutano yake,huyu ni hayawani kama hayawani wengine wa porini.