Recent content by babu kassamya

  1. babu kassamya

    Kila kukicha watu wanaibiwa akiba ya pesa yao na hawa scammers kama Qnet, Scatec, eKyalinda, Mr.Kuku, Global motion Alliance nk

    Ahsante lakini serikari inayaona yote ila imekaa kimya wengine wanatumia majina ya wakubwa
  2. babu kassamya

    Kila kukicha watu wanaibiwa akiba ya pesa yao na hawa scammers kama Qnet, Scatec, eKyalinda, Mr.Kuku, Global motion Alliance nk

    Wenye kujua, kumezuka matangazo mengi kuhusu mikopo kwa njia ya simu. Je, wenye kujua hii mikopo ni kweli au ni utapeli tu?
  3. babu kassamya

    Kutokwa jasho jingi wakati wa kula chakula

    Nima mwanangu ana umri wa miaka 15 akianza kula jasho linamtoka sana kama amemwagiwa maji hata kama kuna baridi kiasi gani na ana mwili mkubwa. Je wana JF huu ni ugonjwa au ni nini naombe msaada mnijuze.
  4. babu kassamya

    Naombeni maelekezo ya kutumia Misoprostol kwa ajili ya safe abortion

    Mwogopeni mungu wenu hivi jamani kuua ni dhambi chukulia wewe kama mzazi wako angekunywa hizo dawa wewe ungekuwepo? Tumia kinga ili usiingie kwenye dhambi ya kuua nakushauri usitoe toe hiyo mimba acha mama azae utawatunza tu hao watoto kwa maziwa ya ngombe na lactogen pia tunaompa ushauri...
  5. babu kassamya

    Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 61 nimepima kisukari nimeambiwa nina 13.7. Je, wana jf mnanipa ushauri gani? Pia miguu inakufa ganzi kwa mbele hata nikivaa ndala yaweza kuchomoka bila mimi kujua sasa basi wana jf Nisaidien ushauri na tiba ya tatizo hilo.
  6. babu kassamya

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Hivi hawa NIDA wangetoa vitambulisho muda unaofaa yote haya yasingetokea leo unawatwisha Watanzania mzigo si wao kwani wangesajili kwa kitambulisho cha mpiga kura kungekuwa na tatizo gani?Serikali imeweka mashariti lazima uwe na nida wakati imeshindwa kutosheleza vitambulisho mbona serikali...
  7. babu kassamya

    Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    Ninasumbuliwa na ugonjwa wa kisukari nawaombeni mnisaidie dawa mbadala nimetumia dawa za kizungu nimeshindwa najua JF kuna wataalamu.
  8. babu kassamya

    Spika wetu Ndugai sijui kama atazinduka baada ya kuzindua

    Kwa mwenye busara atajionja lakini kama hana busara ataona kawaida yaani ni kama wakenya wanamkejeri kwamba kwako wananchi wako hawaoni bunge live lakini kwetu wanaona hebu mheshimiwa jionje uone aibu kwako unazuia mayai watoto wasile unaenda ugenini unakuta watoto wa wenzio wanakula mayai je...
  9. babu kassamya

    TCRA wamulikeni wamiliki wa mitandao ya simu tumechoka kuibiwa!

    Kwa kweli sijui kamaTCRA Kama wapo na kama wapo basi wanashirikiana na makampuni kuhujumu watumiaji simu au hawana nguvu ya kupambana na makampuni kuna minara inatumia sola wanatuibia sana masalio yetu minara hiyo kuwepo hewani hutegemea na jua kwa mfano unaweka salio saa 10 jioni halafu nguvu...
  10. babu kassamya

    Watatu kizimbani kwa kuiba tausi wa Ikulu

    Wallouza tausi uarabuni hawasemwi tausi walipanda ndege enzi za utawala wa mzee wa rukhusa lakini hawasemwi pia ikulu kuna ulinzi mkali sana je watu hawa waliwezaje kuingia ikulu na kutoka na tausi nadhani wanaonewa huenda wamewapata huko mbugani wakawafuga baada ya kuwaona wakadai ni wa ikulu...
  11. babu kassamya

    Msaada wadau nakosa mtoto wangu hivi hivi

    Wewe unajua kabisa kuwa jf kuna watu wenye fani tofauti kwanini usingeuliza kwanza kabla hujasaini huo mkataba? wana jf wangekushauri na huenda ungepata ushauri na kejeli kibao lakini hukuwahusisha leo mambo yamekuzidi na muda umekwenda wana jf sijui kama watakupa majibu maana hata kabla mimba...
  12. babu kassamya

    TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    TBC WAO NA HOTUBA ZA MKUU TU KUMFURAHISHA MKUU HAJUI KAMA RAIA WENGI HAWAPENDEZWI NA WANAYOYAFANYA TBC TAIFA INASHINDWA KUONYESHA TIMU YA TAIFA? KAMA SI KUJIPENDEKEZA KWA MKUU BASI NINI WATUMISHI WENGI WANAFANYA MAMBO ILI WAONEKANE KWA MKUU NDUGU RYOBA ACHA UOGA WEWE MSOMI UKIFUKUZWA TBC VIPO...
  13. babu kassamya

    Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

    zamani wakati tukikua sisi bajeti yote ilikuwa inapitishwa na bunge ndipo mradi unaanza lakini leo hii miradi inajengwa bila kupitishwa na bunge sasa bunge lina kazi gani? na wabunge mpo mnaangalia tu je nini jukumu lenu bunge la bajeti zaid ya miezi 3 lakini mzee anakuwa na maamuzi yake je nn...
  14. babu kassamya

    Geita: Wafanyabiashara wafunga maduka wakishinikiza mwenzao mgeni kulipa kreti ya soda kama kiingilio

    HIVI NI TANZANIA HII? MBONA KIZAMANI SANA NAUNGANA NA MFANYA BIASHARA HUYO ASILIPE ILI WAONDOKANE NA MAMBO YA KIZAMANI HUENDA MAMBO HAYO YANAENDANA NA USHIRIKINA ASIWAPE HIZO 12 ELF KAMA ANALIPIA MAMBO YOTE YA SERIKALI
  15. babu kassamya

    Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    SINANDUGU MAKANZAGANGE MUUZA KARANGA ISEVYA TABORA
Back
Top Bottom