Spika wetu Ndugai sijui kama atazinduka baada ya kuzindua

mr yamoto

JF-Expert Member
Oct 2, 2016
923
1,393
Salaam Mheshimiwa Job Ndugai, nakuona (Live) ukihudhuria kama mgeni mwalikwa kwenye Bunge la Kenya kupitia Citizen TV. Hivi unajisikiaje kuonekana live kwenye Bunge la nchi nyingine wakati la kwako ulilizima?

Nisalimie sana Wabunge wa Bunge la Kenya. Wenzetu wamekwenda mbali zaidi, Spika wetu 'Anazindua utangazaji live wa shughuli za Kamati za Bunge la Kenya'

Nadhani kuna utani hapa. Mtu 'aliyezima' Bunge 'anawashaje' Bunge?

Mr Yamoto.

Update

Spika Job Ndugai: Nawapongeza kwa uzinduzi, kwamba sasa vikao vya kamati mbali mbali zitapeperushwa mbashara (LIVE)

Job Ndugai, Spika- Bunge la Tanzania: Sisi kama bunge la Tanzania tunatumia Kiswahili. Hili linawezekana
 
Kutii sheria za mfalme wetu Inabidi ujitoe ufahamu na akili zako zote uzipeleke likizo ndio utafanikiwa.

mtoa mada hivi hilo hulijui!!.
 
Kwa mwenye busara atajionja lakini kama hana busara ataona kawaida yaani ni kama wakenya wanamkejeri kwamba kwako wananchi wako hawaoni bunge live lakini kwetu wanaona hebu mheshimiwa jionje uone aibu kwako unazuia mayai watoto wasile unaenda ugenini unakuta watoto wa wenzio wanakula mayai je mheshimiwa unajisikiaje?
 
Basi kichwani hatakuwa na shida

E bwaneeee hadi kamati za bunge live?hadi judge mkuu interview ya kazi huwa wanafanya live on tv, WAKENYA KUNA MAMBO KAMA ULAYA VILE
 
Salaam Mheshimiwa Job Ndugai, nakuona (Live) ukihudhuria kama mgeni mwalikwa kwenye Bunge la Kenya kupitia Citizen TV. Hivi unajisikiaje kuonekana live kwenye Bunge la nchi nyingine wakati la kwako ulilizima?

Nisalimie sana Wabunge wa Bunge la Kenya. Wenzetu wamekwenda mbali zaidi, Spika wetu 'Anazindua utangazaji live wa shughuli za Kamati za Bunge la Kenya'

Nadhani kuna utani hapa. Mtu 'aliyezima' Bunge 'anawashaje' Bunge?

Mr Yamoto.

Update

Spika Job Ndugai: Nawapongeza kwa uzinduzi, kwamba sasa vikao vya kamati mbali mbali zitapeperushwa mbashara (LIVE)

Job Ndugai, Spika- Bunge la Tanzania: Sisi kama bunge la Tanzania tunatumia Kiswahili. Hili linawezekana
Napendekeza kuwe na bunge tv/channel kama ilivyo ile safari channel
 
Back
Top Bottom