Tangu awamu ya 5 inayoongozwa na John Pombe Magufuli iingie madarakani mwaka 2015, imejitahidi sana kupambana na upinzani kwa kutumia vyombo mbalimbali vya serikali ili kuvunja nguvu ya mashabiki na wanachama wanaounga mkono vyama vya upinzani hasa Chadema. Katika uchaguzi huu CCM walitegemea...
Pamoja na kujipitisha mashuleni kutuomba kura za huruma, mie nimeamua kura yangu sitampa mgombea wa ccm kama nilivyofanya 2015 hii ni kutokana na mambo 10 niliyoyaona kipindi hiki cha miaka mitano
1. Makato ya bodi ya mikopo toka 8% hadi 15% bila sababu maalum tena kwa ubabe.
2. kutunyima...
Habari za maisha wote mtakaopitia hapa. Ninahitaji msaada kuhusiana na mkopo nilioufanya katika moja ya benki hapa nchini.
Mie ni mwajiriwa katika manispaa ya Lindi mwaka wa sita sasa, tangu niajiriwe sikuwahi kufanya mkopo na benki yoyote hadi ilipofika mwaka jana mwezi wa nane nikalazimika...
Habari wapendwa. Ninauza king'amuzi cha star times cha chuma cha Antenna kwa bei ya Tsh 45,000/=. Sababu ya kuuza ni kuwa ninahama Dar naelekea Kilosa huko antenna hazishiki. Kina channeli za bure nyingi tu kama ITV, Star Tv, Tbc1, channel ten, EATV, Tumaini TV, WRM, n.k
Baada ya kufuatilia kwa muda mrefu kutaka kujua nini hatima ya chaneli za ITV, Star TV, EATV, Clouds TV, Capital TV n.k kutopatikana katika king'amuzi cha Azam, nimekutana na mtonyaji toka Lumumba ambaye hapendezwi na kinachoendelea nchini kwa wakati huu na kuniambia kuwa ukimya wa serikali juu...
Habari wapendwa. Leo nilikuwa mahari fulani na kukawa na ubishi kuhusu vyombo vya moto kutozwa tozo/ushuru katika daraja linalounganisha kigamboni na maeneo mengine ya jiji la Dar kupitia kurasini, wapo waliokuwa wanasema utaratibu huu hutumika sehemu mbalimbali duniani japo walikosa ushahidi...
Habari wapendwa. Napenda nifahamishwe update zinazohusu scholarship zinazotoolewa na serikali ya china (Ministry of Finance and Commerce MOFCOM) kupitia UTUMISHI..Tunaombeni update wapi zimefikia
Kuna wakati hawa waliotamba 1990-2000 walijitoa kwa kofi na kuanzisha Quarter latin academia lakini baada ya muda wakaanza kurudi kwa mopao, japo Sam Tshintu ndiye mpaka leo hajawahi kurudi. Waliorudi Gecko Bouro mpela, Madogo Abarambwa n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.