Recent content by BabbOchu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Ngoja niseme kidogo kitu nilichojifunza kwa huyu kijana. Kuna wakati fulani Hezron Michael (Paul Mashauri) aliwahi kuandika kuhusu msanii wa muziki wa bongofleva Diamond akisifia bidii yake lakini sasa naelewa zaidi. Diamond huyu alikuwa hana hela ya kwenda studio mara ya kwanza (mtaji wa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania PAC: Maoni, Maswali, Mapendekezo na Ushauri wa yatokanayo na report ya PAC

    1- Kanisa katoliki ni miongoni mwa hasasi za kidini zinazotuhumiwa kuhujumu uchumi kwa bank yake (Mkombozi Bank) kutakatisha fedha haramu na kiongozi wake mkubwa Askofu Methodius Kilaini na wenzake kutuhumiwa kupata gawio la fedha hizo haramu. Kwanini taasisi hii isifutiwe usajili hapa nchini...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mkono Advocates, wakili wa TANESCO kutetea serikali alitoza $1,000 kwa saa kwa miaka 16

    We mbulula kweli, kesi iwe na miaka 12, sasa kina muhongo wanahusika na nn apo wakati wao hawakuwa mawaziri tangia kipindi icho
  4. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    Kwa maana iyo hata masidiwani pia wawe na vigezo ivyo ivyo, sasa kuna aja gani ya kuwa na ukawa na si Chadema? Acheni ubinafsi, kwa mtindo huu hatotoki CCM ngoo,
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hii habari ya uuzwaji wa NBC imenisikitisha sana, naamini itamsikitisha kila mzalendo wa nchi hii

    Mbona kwenye iyo stori nzuri sijaona hata sehemu moja alipotajwa Reginald Mengi ???
  6. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    Nafikiri jumuiya za kimataifa zitawapeni support kwa kuwa Lipumba ni mchumi anayekubalika kimataifa, na wana imani naye sana akichukua nchi ataipeleka mbali kiuchumi
  7. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    Kuna vigezo ambavyo nimeviona kuwa katika jumuiya inayounda ukawa na kugundua kuwa kuna vigezo vifuatavyo kati ya wale viongozi wanne nani anafaa kugombea urahisi: 1- Lipumba ana experience ya muda mrefu katika siasa za nchi hii kuliko wote wale 2- Anaongoza kwa shule, Lipumba ni Professor tena...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Boss wa Home Shopping Centre 'apewa shavu' na Tanzania huko China

    Inaonekana humu Jamii Forum watu wengi shule hawana, mnalalami sana, kwanza someni cheo alichopewa na maana yake alafu uanze kucomment. Huu ni ubalozi wa Heshima anaweza kupewa hata mtu mgeni nchini mwao, tuna balozi nyingi sana za namna hiyo. Kule Uturuki kwa miaka kumi sasa ubalozi ule...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Malori ya Uwanja wa Taifa

    Wadau kuna haya malori yanawekwa uwanja wa Taifa, kuna kero kazaa ambazo niliziona mechi ya Jumamosi: 1- Yanazuia watu kukosa Parking, watu wanaweka magari yao mtaani ambayo ni risk kubwa sana 2- Yanaleta kero kubwa sana wakato wa kutoka, njia ndogo na yameziba njia yote, angalau wayaondoe dk...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa ndani anahitajika - Tuangalie majukumu anayopewa jamani!!!!

    Jamani kwa staili hiii mi naona kuna uonevu mkubwa sana kwa wafanyakazi wa ndani, sijajua ni kwa kukosa elimu lakini kwa upande wangu mi naona haki za kibinadamu zinakiukwa. Kwa mshahara gani atakopewa kwa kilinganisha na list za kazi ambazo zimetangazwa apo chini... Ila kwa wenye moyo wanaweza...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nashukuru ZoomTanzania wamesikia kilio chetu

    Hapana hazipatikani sasa, nimejaribu kama unavyosema ila hakuna kinachotokea
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nashukuru ZoomTanzania wamesikia kilio chetu

    Kuna kipindi niliweka habari inavyosemeka kama ilivyo apa chini kuhusiana na ZoomTanzania iliyokuwa na kichwa cha habari (Kwa Wale Wanaoomba Kazi ZoomTanzania). Kuna watu waliokubaliana na hoja yangu ila kuna ambao waliojifanya wasomi sana na wakapinga hoja yangu mpaka nikaambiwa mshamba nirudi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Mtandao wa Kukopa Akiba Commercial Bank

    Jamani kuna habari zimezagaa mjini kuwa kuna mikopo inatolewa Akiba Commercial Bank, katika pita pita zangu kuna jamaa wameweka namba zao za simu kwamba watu wanatuma pesa za kujiunga na walioweka pesa wote wameliwa. Kuna link ii apa lakini iyo namba ya Voda si ya ACB...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Wale Wanaoomba Kazi ZoomTanzania

    Sawa mi mshamba kaka, ila inaonekana we na wenzako hao wa ZOOM ndo Washamba na shule zinawasumbua, kama kuna mfano wa website ambayo inaweka wazi email na namba za simu weka tuione, usiongee kishabiki manake inaonekana we ni mmojawapo wa hao kina ZOOM, ila toa reference kama msomi. Weka linki...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Wale Wanaoomba Kazi ZoomTanzania

    Kwenye linked In hakuna namba za simu wala Email kaka, inabidi uwe muelewa
Back
Top Bottom