Malori ya Uwanja wa Taifa

Malori ya Uwanja wa Taifa

BabbOchu

Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
25
Reaction score
5
Wadau kuna haya malori yanawekwa uwanja wa Taifa, kuna kero kazaa ambazo niliziona mechi ya Jumamosi:

1- Yanazuia watu kukosa Parking, watu wanaweka magari yao mtaani ambayo ni risk kubwa sana
2- Yanaleta kero kubwa sana wakato wa kutoka, njia ndogo na yameziba njia yote, angalau wayaondoe dk 15 kabla ya mechi kwisha.

Ule ukiwa kama uwanja na una parking za kutosha sana inakuwaje wawazue watu wasipaki magari yao kule matokea yake wanazuia na inapelekea hata watu kuibiana manake umebaki uchochoro tu ndo watu wanaminyana kupita apo,

Angalia picha apo chini

Malori Taifa.jpg
 
Back
Top Bottom