Kuna kipindi niliweka habari inavyosemeka kama ilivyo apa chini kuhusiana na ZoomTanzania iliyokuwa na kichwa cha habari (Kwa Wale Wanaoomba Kazi ZoomTanzania). Kuna watu waliokubaliana na hoja yangu ila kuna ambao waliojifanya wasomi sana na wakapinga hoja yangu mpaka nikaambiwa mshamba nirudi kijijini.
Ila napenda kutoa shukurani kwa website ya zoom kwa kusikia kilio chetu na kuapgrade website yao na zile information za CV za watu hazipatikani tena. Kwa hili napenda kutoa pongezi sana kwa ZoomTanzania kwa kusikia kilio chetu kwa faida ya wote, Big Up ZoomTanzania na we will keep on supporting you.
Habari yenyewe ilikuwa kama ivi:
Jamani kuweni makini haswa unapoomba kazi kupitia Website ya Zoom, pale hakuna security au private yoyote, kwa mfano ukiingia website yao na uki search cv basi zinakuja cv za watu kibao na full detail zao. Kwa namna hakuna private yoyote na mtu anaweza kufanya abuse ya information zako, tuweni makini wadau. Angalia mfamo apo chini