Wadau naombeni msaada wenu , nataka kuiroot simu yangu ya HTC Desire HD, nataka kujua
1- Jinsi ya Kuiroot
2- Faida na Hasara Zake
3- Na kama kuna mtu ana Touch ya hii simu aniambie tuwasiliane.
Wadau kama kuna mwenye Idea atueleze, nataka kutumia BlueStacks kwenye simu yangu ya android, lengo likiwa kuniwezesha kutumia whatsapp zaidi ya moja kwenye simu. Au kama kuna njia nyingine itayowezesha kutumia Whatsapp zaid ya moja kwenye simu atueleze.
Wadau kwa mtaji huu tutaendelea kweli kwa ndege moja kuuzwa kwa sh 500,000. Na huu mnada umefanyika lini kama si zengwe, habari hizi zipo kwenye gazeti la Uhuru
Huo ni upuuzi,unaweza kutoa habari ila si kwa kuweka picha, kama ni ndugu yako angefanywa vile ungekubali, uu ni ulimbukeni wa media, Tanzania need IT policy ya haya mambo
Naomba nitajie mtu maarufu yoyote duniani aliyekufa kwenye matukio kama yale na kuwekwa mitandaoni picha kama ii, We Zio unasema hivyo ila fikiria kama ndugu yangu ndo anadhalilishwa hivi mitandaoni ungejisikiaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.