Recent content by Babati Yetu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tujifunze hatua za kufata kabla hujachimba kisima cha kisasa (borehole)

    Mitandaoni bei wanaweka kubwa sana mpaka unajifikiri wanatuonaje
  2. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je utashiriki kupiga kura kwenye uchaguzi 2025 baada ya CDM kutokuwepo kwenye mchakato?

    Unatakiwe ufie kwenye uwanja wa vita mkuu, hakuna simple way always
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ni dhambi kupromote umasikini misikitini/makanisani

    Hapa naungana nawe mtaalam, unaambiwa toa yote, mara utajiri wa dunia hauna thawabu
  4. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je utashiriki kupiga kura kwenye uchaguzi 2025 baada ya CDM kutokuwepo kwenye mchakato?

    Chadema kwa sasa hawajui hata Wanachokiamini, wanatembea na fikra za Facebook
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye DK SLAA arejea

    Mpinzani wa kweli ni mnafki na mlaghai wa sisiemu akipandikizwa upinzani
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hivi wapinzani kuhamia CCM wanakuwa wamenunuliwa?

    Wapinzani wanajipangaje kumaliza huo utata?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Patrobas ni pengo kubwa CHADEMA

    CCM wewe Alafu unahubiri uwongo tu.... alichukua kiasi gani?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mbweni, Dar: Mkutano wa CHADEMA wavamiwa, watu kadhaa waumizwa, Polisi walikuwepo

    Alafu mlichukua Hatua gani kukabiliana nao?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wanataka mikutano ya kisiasa kwa malengo gani?

    Huyu naye utaambiwa ana degree Wakati maana halisi ya vyama vya siasa hajui.... my country... my people
  10. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike

    Biashara zinaendelea mkuu.... binafsi kosa walilofanya ni pale ambapo wanapinga Udikteta alafu wanafuta.... msimamo hamna..... katiba inavunjwa wanalalamika alafu wakakaa kimya...... kura zinaibiwa hata wakishinda hawatangazwi(Wenyeviti huko Arusha?)wanabaki kulalamika .Ila kamati kuu ikae chini...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge wanne, kuhama vyama vyao

    Siasa za kihuni... unazihuzulu alafu unagombea tena ni kucheza na wapiga kura.. tuwakatae
  12. B

    JamiiForums Tanzania Balozi Kagasheki amtaka Kigwangalla athibitishe taarifa za yeye kupokea rushwa akiwa Waziri, Kigwangalla akana kumtaja

    Kigwangwala hata fanikikiwa maana Tayari kaanza kwa visa kama alivyomfanya Doctor Mwaka. Ukitaka kupambana na adui nenda kimya kimya utafanikiwa
Back
Top Bottom