Recent content by Babasean

  1. B

    James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    Nimekuwa Arusha kwa takribani miaka nane sasa! huyu jamaa ni alikuwa ni kifaa kwa ccm hapa arusha! alikuwa ni kikwazo kwa harakati zetu za ukombozi wa inji hiii, alikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wanatupa shida sana hapa Arusha, shida kwa maana anakubalika sana na vijana wengi wa hapa, pia...
  2. B

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Tunasoma ktk maandiko matakatifu ya kitabu cha Biblia, kuwa ktk safari ya kurudi Nchi ya Ahadi, wana wa Israel (middle EAST) walikuwa wanaongozwa na Musa, Lakini Musa hakufanikiwa kufika ktk nchi ya ahadi (toka utumwani Misri), ndipi MUNGU alimuinua JOSHUA, kumalizia safari ya wana wa Israel...
  3. B

    TBC na Ushindi wa Nassari Joshua

    jiwen walilokataa waashi, limekuwa jiwe kuuu la pembeni!!!!!!
  4. B

    Mkataba wa Umeme 600 MW Tayari

    Sasa wakubwa! tuweze kutofautisha kati ya COAL na HYDRO. Coal Power Generation ni uzalishaji wa umeme kwa kutumia makaa ya mawe i.e. mashine za kuzalisha umeme zinaendeshwa/zinasukumwa kwa makaa ya mawe (kiwira ni mfano wa hili), wakati Hydro power generation ni uzalishaji wa umeme kwa kutumia...
  5. B

    Mkataba wa Umeme 600 MW Tayari

    Hi all wana - JF, Kama ninakumbuka vizuri, huyu mtawala (siyo kiongozi kwa kuwa hana/amepoteza sifa za kiongozi) wetu wa JMT alikwisha wahi kutamka wakati na mahali fulani huko nyuma kuwa nchi yetu (JMT) haina wataalam wa MIKATABA, sasa huyu mtaalam wa kumshauri kusaini huu mkataba wa 600...
  6. B

    GE2010 Wengi hawajui Nguvu ya Maaskofu

    Wewe una akili sana. You are very INTELLIGENT! (siyo intelijensia ya Side Good). Uko sahihi kabisaaaa!
  7. B

    Upolisi isiwe kimbilio la waliokosa channel za maisha..ni wito.

    Hii ni ukweli mtupu! Kwenye nchi za wenzetu, mapolisi ni watu wenye uwezo wa juu wa ku-reason na ni very inteligent people (siyo intelijensia ya jamaa wetu Side Good)> Hakuna intelijinsia bila kuwa intelligent. Angalia mapolisi wetu, utakuta weengii wana Div 3 hadi zero za kuanzia point 25. Ni...
  8. B

    Nani huyu Ridhiwani Kikwete?

    Nimeona jana akiwa anatoa tamko la UVCCM kuhusu yaliyotokea Arusha. Je yeye ni Mwenyekiti/Katibu/Mtunzahazina/Msemaje/???? wa UVCCM? Mbona kila UVCCM wanatoka hadharani yeye naye hakosi? na huwa msemaji mkuuu? Jamani hiii ikoje? Hawa wenzetu wakoje? Hii ni nchi ya kifalme? Nijuzeni nafasi ya...
  9. B

    HC DK. Jakaya Kikwete Usipowawajibisha Hawa Tutathibisha kwamba Uliwaagiza

    inasemekana Side na JK ni mtu ni shemeji yake! sasa je wanaweza kuwajibishana?
  10. B

    GE2010 Lipumba kupewa nafasi baraza la Mawaziri?

    KAKA! kwani Mizengo amechaguliwa? kama ndiyo ni kwa kura ngapi? Kiufupi ni kwamba hakuna mwananchi hata mmoja aliepiga kura kumchagua kuwa mbunge. Pinda akipewa u-PM au mbunge yeyote wanedai amepita bila kupingwa (hajapigiwa kura) basi Katiba ya nchi itakuwa imevunjwa kwa mujibu wa katiba ya...
  11. B

    GE2010 Lowasa Anasema Dr. Slaa Hazijui Siasa Za Tanzania, Yeye Anazijua??

    Niwalukumbushe kidogo viwanda vinavyohusishwa na huyu mzee wa nvi! Mbolea Tanga ilibidi kife ili Mbolea Minjingu kinyanyuke General tyre Arusha ilibidi kife ili vile vinu vya kuzalishia matariri vipelekwe nairobi (vilikuwa vinatolewa usiku pale Njiro) kuanzisha kiwanda cha Yana tyres Chupuchupu...
  12. B

    GE2010 Iandaliwe Sherehe Kubwa ya Kumpongeza W.P. Slaa (PhD)

    Ndungu (kaka/dada), ninakubaliana na wewe kwa 1000% I mean unity! kama walikataa Dr W P S kutumia uwanja wa Samora pale Iringa na wa Sokoine kule Mbeya kufanya mkutano wa kampeni, je wataturuhusu kufanya sherehe hata kwenye hoteli ya Mbowe kule Machame (Protea Hotel)? siyo tu kwamba watauzuia na...
  13. B

    GE2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

    Ndugu yangu umenena sahihi kabisaaaa! Mimi ninaishi Arusha! Nilikuwepo kwenye mchakato woooote wa uchaguzi wa jimbo la Arusha mjini. Siku ya kutangaza matokeo, Batilda Buriani alikataa kusainin matokeo akidai hawezi kusaini hadi Lowassa aje. Ni kweli baada ya saa kadhaa kupita, Lowassa alifika...
  14. B

    GE2010 Dr.Slaa kutoongea na waandishi wa habari kesho jumapili

    Dr W P Slaa, is the president for all us who are the followers of CHADEMA! wewe u rais wetu, na ni rais wetu sisi walalahoi na waamka taabani. Tunakupenda na tunakujali ndiyo maana hata tulikuchangia Tsh. 350/- zetu kwa sms kupitia simu zetu ili uweze kupata mafuta ya Chopper yako.Huo ndio...
Back
Top Bottom