Recent content by Babarazack

  1. Babarazack

    JamiiForums Tanzania Sina kilevi, nichagulie

    Hujasema Kuwa wewe siyo Mshirikina (huamini uchawi) kwa hiyo nimeanza kuhisi utakuwa hapo kwa sangoma
  2. Babarazack

    JamiiForums Tanzania Malipo TAESA

    Ndiyo
  3. Babarazack

    JamiiForums Tanzania Wamepigwa Tena na Vanilla International. Watanzania Tuna Matatizo ya Akili

    Abarikiwe founder wa JF na participants wote kwa sababu hii forum imeniokoa mara kadhaa kuingia mkenge katika hizi investment organizations. Huwa nina tendency ya kwamba nikisikia dael ni lazima nije hapa nisikie wananzengo wanasemaje kuhusu nilichokisikia. Mchongo wa Mr. Kuku farm niliamshwa...
  4. Babarazack

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum Abdala aka fei toto vs Yanga

    Daah make kwanza ncheke,famasihara nn?
  5. Babarazack

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    UKIPATA CHIMBO NA MIMI NISHTUE NINAZIHITAJI KWA WINGI SANA
  6. Babarazack

    JamiiForums Tanzania GSM pamoja na Kupigiwa Magoti na TFF dhaifu ya Rais Karia ili mrudi na mnarudi kweli, jueni kuwa Simba SC hatutovaa Nembo yenu

    Daah umenikumbusha enzi zile za Mange Kimambi alafu akatokea Kigogo2014
  7. Babarazack

    JamiiForums Tanzania Watalii wapatao 1000 kutoka Ukraine wadaiwa kukwama Zanzibar

    Z'bar iwe makini Tusije tukaonekana tumeshiriki kuwasaidia Ukraine, mara paaap mrusi anatuma missile moja heavy
  8. Babarazack

    JamiiForums Tanzania Ni matokeo ambayo 'JF Football Pundits' na wenye 'Maono Makali' tuliyatarajia, ila Msimu ujao Simba SC isajili Wachezaji wa uhakika hasa

    Nimesoma neno kwa neno mwanzo hadi mwisho,ushauri mzuri wa kiufundi wenye uzalendo wa kishabiki ndani yake Nikisummarize nilichokielewa ni kwamba 1.Simba iacha kusajili kwa mazoea,kusiwe na uswahili wa 10% 2. Simba iachane wachezaji wazawa wote isipokuwa A.Manula Apate changamoto ya makipa...
  9. Babarazack

    JamiiForums Tanzania Licha ya kupigwa 2-0, Simba watamba "RS Berkane wakija Dar watavuta pumzi ya moto"

    Kikubwa uhai.acha maisha yaendelee.
  10. Babarazack

    JamiiForums Tanzania Wenye tatizo la nguvu za kiume, tiba imefika Aga Khan

    Kwa hiyo mtu unakuwa na vidudu viwili au? Cha kupandikiza na kile chako cha zamani.
  11. Babarazack

    JamiiForums Tanzania 70% ya Mademu wa Dar wanaopendeza sana, wana Mashauzi na wana Simu Kali wanalala Sakafuni na Magodoro yao Ghetoni

    Umetimua nyuki,hebu ngoja tuone kama watakung'ata...!
  12. Babarazack

    JamiiForums Tanzania Marekani kuinyamazisha Urusi?

    Uzi mzuri ila kuna sehemu umecopy na kupaste jamaa mwenye article yake analalamika umedesa alafu hujamuacknowledge
  13. Babarazack

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kushuhudia maandamano makubwa hivi karibuni

    Mmh we jamaa unatakiwa kuisaidia polisi
  14. Babarazack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kibamia kimekuwa kero wadau

    Kwani Unamjua?
Back
Top Bottom