Marekani kuinyamazisha Urusi?

Hivi Afrika ikiungani yote tunaweza kumpiga hata korea tu? Maana hata umoja wetu wa Afrika umeshindwa waasi wa kongo tu ambao wanatumia mapanga,majembe na visu kwenye kupigana. Huu umoja wa mchongo sana Tanzania tunaungana na Putin.
 
Marekani kamshindwa mtoto mdogo Kiduku ,atamuweza mtaalamu wa mapambano na intelijensia Putin.
Marekani kapigwa kombora kambini kwake na Iran akashindwa kufanya kitu chochote..

Hio ni mikwala tu marekani hakuna kitu anaweza kumfanya Russia.

#teamrussia.
Ukiongea jambo kuwa na ushahidi sio kuongea kwa ushabiki tu Yani Marekani amuogope kiduku kweli ?kwa uchumi gani alionao kiduku.kushinda vita Huwa inategemea una uchumi gani.
 
Ukiongea jambo kuwa na ushahidi sio kuongea kwa ushabiki tu Yani Marekani amuogope kiduku kweli ?kwa uchumi gani alionao kiduku.kushinda vita Huwa inategemea una uchumi gani.
Vita sio uchumi tu.. angalia vita ya Us na Vietnam .. pia angalia vita ya Us na wanamgambo wa Taliban ya miaka 20 mwisho wa siku Us wamekimbia wamesahau hadi vifaa vyao vya jeshi. Vita ni zaidi ya uchumi na hesabu za vifaa..
 
Mwanzo wa maneno Biden alisema watasimama pamoja na Ukraine... Jana usiku Biden kasema anawaombea waukrine juu ya kichapo watakachopokea kutoka Urusi 😁😁
 
hii habari ya nenda kasome kile ama iki uwa haina maana, weka hapa kile ulichokisoma kwenye hiyo mkataba kwa manufaa ya wengi.
vipi, mleta uzi nae angeliandika tu NENDENI MKASOME IKI NA KILE, tungelikuwa na cha kujadili hapa?.
EBU FANYA UCHAMBUZI WAKO TUPATE DARASA.
Hatutaki propaganda kwanini tupige kelele wakati mwanaume anafanya yake. Muda huu tujadili vita yaani uhalisia.
 
Hatutaki propaganda kwanini tupige kelele wakati mwanaume anafanya yake. Muda huu tujadili vita yaani uhalisia.
mmebarikiwa mihemko. kupinga kitu ni rahisi sana ila kueleza ni kwanini unapinga ni mutihani.
utofauti wake na yeye ni kwamba yeye ameweza andika hapa hizo propaganda usizozitaka na watu wamezisoma ila wewe UWEZI andika hapa hizo facts hapa unazozijua ili wengine nao wazijue.
 
Mihemko ndo ubinaadamu. Hawafanani waja. Tuangalie mpambano mwisho tuhitimishe ubishani wa siku nyingi.
 
Fascist Putin kaingizwa kingi kaingia mwenyewe. Gonna be history.
 
Belarus Ni rafiki wa Urusi na mpaka Sasa Kuna jeshi la Urusi pale Sasa marekani atawezaje kuingiza jeshi lake pale
Naona Sasa USA ameanza kulaghai ulimwengu
Sema facist wa Belarus ni rafiki wa Putin. Jitu liko madarakani since 1994 halitaki kuondoka. Communist ideology ni tatizo.
 
Uzi mzuri ila kuna sehemu umecopy na kupaste jamaa mwenye article yake analalamika umedesa alafu hujamuacknowledge

Screenshot_20220224-202407.png
 
Belarus Ni rafiki wa Urusi na mpaka Sasa Kuna jeshi la Urusi pale Sasa marekani atawezaje kuingiza jeshi lake pale
Naona Sasa USA ameanza kulaghai ulimwengu
Unataka kusema Belarus wewe unaifahamu kuliko Marekani
 
Mkuu nenda kasome tena history pepar II ADVANCE halafu ndio uje na chai zako km sio kahawa iliyokosa ....soma movement ITALIAN UNIFICATION ,SOMA GERMANY UNIFICATION , NA SASA NI ZAMU YA RUSSIA UNIFICATION , na nchi za magaribi wamekuwa na propaganda kama chai yako , but puttin hana propaganda anayetaka aende akaguse RUSSIA HATA PIGANA KATIKA NCHI YA BERLAUS ILA ATAPIGA MIJI YA MAREKANI ndio maana unaona marekan anagwaya sana .....bado haiwezi URUSI , kwa jeshi technolojia na ujuzi wa kisayansi ...si upo ndio maana marekani kakimbilia vikwazo badala ya kuingiza jeshi amezoea kuonea nchi za uarabuni
UZI UFUTWE TU. 🤣 USHAMALIZA
 
Back
Top Bottom