Blackafrica
Senior Member
- Jun 26, 2021
- 140
- 401
Nawaza kwa sauti, tunaweza kushuhudia maandano makubwa yasiyo na kikomo nchi nzima hivi karibuni, viongozi bado mnayo nafasi ya kuhakikisha wananchi wanazidi kuipenda nchi yao, kupitia uwajibikaji wenu wa kizalendo, otherwise msije kusema hatukutoa tahadhari!!!!
Nawasilisha
Nawasilisha