Recent content by babap

  1. B

    Kiongozi wa makarani wa sensa ashughulikiwa

    Tuambie ni vituo vya wap na wapi,maana kama mimi kituo changu ni Iyunga na nimepewe kilakitu pamoja na makarani wengine.
  2. B

    Mama mzazi wa Mario Balotelli aosha sufuria wakati mtoto asuuza medali!!!!!!

    Wazungu bwana,Wana kila njia ya kumuonyesha mwafrika hana maana duniani.
  3. B

    Lema amvaa Ridhiwani Kikwete, Ni kuhusu umiliki kampuni ya Tanzanite One

    WaTZ kweli tunakazi.. Tunapenda sana kuamini bila vidhibitisho.
  4. B

    Mchango wa HIARI kwa Dr. Ulimboka

    Hakuna mchango hapa.
  5. B

    Vodacom yahonga Wabunge Blackberry

    kwani spika anaingia kwenye kamati ndogo ndogo? Zaidi ya kamati ya uongozi?
  6. B

    RIPOTI MAALUMU:Upasuaji tishio kwa wajawazito-2

    Wanawake wengi wanaona fasheni kuzaa kwa upasuaji.
  7. B

    Mwenye CV ya mrembo Jackie Cliff

    ni mtoto wa kibena kutoka njombe,ni chotara wa kiburushi na mbena. Mama yake alikuwa dada wa kazi kwa mburushi huyo, alipopata ujauzito akarudishwa kwao njombe..
  8. B

    Umaskini wa watu mtwara nusura umtoe Lema machozi

    watu wa kusini ni wavivu by nature,,
  9. B

    Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Abandike ukoko wa ugali kwenye kwapa ungali bado moto.
  10. B

    Wanaume wa Tanzania hawaogi, Hawafui nguo za ndani, Hawapigi mswaki?

    Sioni sababu yakuwa na jazba kama wewe hunuki.
  11. B

    Mbunge Nkamia Anapepo?

    ulitakaje sasa? Kama wenyewe wamekubaliana nawatangazia.. Nan sasa mwenye pepo Mkamia au hao waandishi?
  12. B

    [USHAURI] Magari ya Nissan

    nahitaji kununua nissan liberty ila sijajua madhaifu kuhusu gari lenyewe japo kwa muonekano ni zuri sana. Naomba kwa anaelifahamu kwa undani anifahamishe kabla sijaingia mkenge!
  13. B

    Increase the speed of your operamini browser

    hata mimi imesema invalid. Natumia nokia c6
  14. B

    Taarifa kwa wasomaji wa gazeti Mwananchi.

    500 to 800... Tutasimama wengi kwa wauza magazeti tusome vichwa vya habari tu.
Back
Top Bottom