Recent content by Babangida94

  1. Babangida94

    Bwana Kiranga atakuwa mhubiri mzuri wa habari za Mungu hapo baadae

    Uzima huu unatia watu jeuri kweli yaan nyuma ya keybod hapo ndo unavimba haya......sijui atakufanya nini mana akili zake hazchunguzki ila zimeshafika kabla ujatype.
  2. Babangida94

    Je, unatamani kitu kingine kipi kijengwe Chato?

    Makao makuu ya watu wasiojulukana wapeleke huko.
  3. Babangida94

    Mwenye Ushahidi au Aliyewahi Kushinda BIKO na TATU MZUKA n.k atuaminishe hapa

    Hawa wapigaji t....kuna mwalimu wangu wa msingi nimesikia kashinda M 10 ile kufatilia kumbe ana mdogo wake yuko biko ana bonge la tak.o nikajiongeza hapa kashindishwa....mara kuna siku tatu mzuka mussa hussein anampigia simu mshindi mshind akapokea akjibu "eeeehh mussa nambie" basi mussa hussein...
  4. Babangida94

    Matajiri Kumi Wa-Tanzania

    Chakula murua cha kuku.........
  5. Babangida94

    Wakati ' Binti ' wa Kikenya mwenye miaka 10 akifanya ' maajabu ' Mijitu mizima Tanzania inahaha Kutudanganya!

    Kasubiri sana ukuu wa wilaya bila mafanikio haha natania mkuu....usije ukanipa za chembe
  6. Babangida94

    Ndoto ya Utekaji na Ujumbe niliopewa

    Utatusaidia mwnye upelelezi ww
  7. Babangida94

    Memory Njemani ameamua kuolewa na mwanaye wa kiume ili kufidia gharama za kumsomesha

    vumbi la mkongo heshima ya ndoa haina madhara .......goli la kwanza dkka ya 45+
  8. Babangida94

    M-Pesa sio salama

    Hongera mkuu kumbe kimombo kinapanda....tutakupa mwanafunzi jiwe um-coach aweze kuongea kama na wageni wake pia awe na confidence za kusafiri.
  9. Babangida94

    Nimenunua simu mtandaoni ikatumwa kwa posta leo nimeipata

    Tushajua umeagiza android mpya kutoka nje....hongera mkuu.
  10. Babangida94

    Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    Uzi murua wa wajeda na wapenda jeshi ambao maisha yamewachapa mtaani
  11. Babangida94

    Bagamoyo: Afariki kwa kupigwa risasi baada ya kukaidi amri ya JWTZ

    Maprivate katika ubora wao...........kama namuona jamaa alivyokuwa anakumbushiia mafunzo ya range(shabaha)...ajachezea fursa mwanaume
Back
Top Bottom