Recent content by babamkubwa

  1. babamkubwa

    Kinara wa kusafirisha mabinti kutoka Tanzania kwenda India "human traffick biz"

    Shumileta huyu huyu wa bongo muvi Kawauza wengi india zamda salim na wengineo weng
  2. babamkubwa

    Dalili za mtu muongo muongo

    Ndio nini kwani hapo mwenyewe ushaongopa
  3. babamkubwa

    Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Zamani zilikuwa na thamani siku hiz uko baa unafanya yako na wife linakuja jamaa kajaza mkononi linapiga promo biashara sasa mwenye akil zake anaweza kununua bidhaa hiyo baa tena mbele za watu ambao tayar akili za usiku zishakuwa mixing
  4. babamkubwa

    Dr. Slaa alakiwa na Familia ya Nyerere Butiama

    Uwezi kuwa Lumumba ukawa mshamba wewe ila we njoo hapa Lumumba uone utakavyopigwa badala ya kulia utacheka mwenyewe
  5. babamkubwa

    Tuzo zilizoandaliwa na Bongo5 Media

    Jahazi la clouds fm, mitikisiko ya pwani ya Dida, Super Mix ya Zembwela naunga mkono hoja
  6. babamkubwa

    Tuzo zilizoandaliwa na Bongo5 Media

    Ze comedy na taarifa ya habari
  7. babamkubwa

    Tuzo zilizoandaliwa na Bongo5 Media

    Ni Tuzo sio Tunzo
  8. babamkubwa

    Huyu sista du mbona anapenda 'kiki' sana

    Kuhus diva na Zamarad najaribu ku upload pictures zao kuanzia 1993 zenye caption swala la kadinda na wema wanachangia bwana hilo halina ubishi sijui nikupatie uthibitisho wa aina gani isitoshe mtoto wa kiume huwez kujibatiza jina la kike kwenye Instagram martin ana account fake anajiita mwatumu38
  9. babamkubwa

    Huyu sista du mbona anapenda 'kiki' sana

    Nani anabisha kama martin kadinda na wema wanachangia bwana
  10. babamkubwa

    Huyu sista du mbona anapenda 'kiki' sana

    Diva si mtoto wa ndani ya ndoa kwa mzee malinz bali history inaonyesha kuwa mama yake alikuwa mfanyakaz wa ndani kwa malinz ndio mkuu akachepuka bahat mbaya ikazaliwa hii adhabu nje ya ndoa kama alivyokuwa Zamarad Mketema naye mama yake alikuwa house girl wa Marehem Mketema mama wa Zamarad ni...
  11. babamkubwa

    Dalili za mke anayetoka nje ya ndoa

    Ukiona hivyo kajiingiza katika kamchezo Chao cha sikuhiz cha kusagana
  12. babamkubwa

    Ubaguzi CHADEMA waanza kumea mpaka kwenye UKAWA

    Kidumu chama cha mapumziko
  13. babamkubwa

    Bosi wa EWURA akutwa amefariki hotelini

    Hiv huyu si ndio yule aliyemvesha Pete ya uchumba demu wa mbongofleva Nay wa Mitego au
  14. babamkubwa

    Maajabu ya kalenda ya mwaka huu 2014!

    akili zako sio nzuri
Back
Top Bottom