Afro-Arabica
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 1,107
- 493
Ndugu Masanza' Nakusabahi kwanza, Nakuwa salimu wanaJF.. Nikusihii kidogo tu iliusichume dhambi na kueleweka vibaya kwenye jamii tafadhali jiepushe kuchanganya maudhui au kujumuisha watu wasiyomo kwenye mjadala.!! Heshima kwako na kwa Dada FF. Siye wote ni wanyonge na dhaifu tutaishia ku-mchangani tuwe chakula cha ......!!Afadhali hata wewe umeelimisha watu tumeelewa, angekuwa FaizaFoxy hapa angeishia kutukana tu na kuponda wengine, ubarikiwe mama
Good day and stay well.